Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kiaje mkuu sijakuelewa...Denis Suarez
Kiaje mkuu sijakuelewa...Denis Suarez
Hawa tunawapiga 3+ bila kukosa. Mark my words!!!View attachment 675205
Hawa watoto inaonekana wanatukazia siku za karibuni....
Leo inabidi tuweke heshima....
Nimefurahia kumuona kwenye squad listKiaje mkuu sijakuelewa...
Aaaah suarez mdogo mwenyewe nimefurahi kumwona, kocha anafAa amchezeshe leo japo hata sub...Nimefurahia kumuona kwenye squad list
Hawa leo lazima wakae.....mchawi alikuwa Moyes...Daah... tunakosea wapi
Hii curse tunaenda kuivunja Leo...
Tutaonana mida hiyoHawa leo lazima wakae.....mchawi alikuwa Moyes...
Velverde hana haraka kumchezesha Yerry Mina au naye majeruh kama Coutinho?View attachment 675205
Hawa watoto inaonekana wanatukazia siku za karibuni....
Leo inabidi tuweke heshima....
Kafanya training Jana tu kama sikosei. Ngoja ajifue kwanza...Velverde hana haraka kumchezesha Yerry Mina au naye majeruh kama Coutinho?
Sijajua hata mipango yake.....,ngoja tusubir...Velverde hana haraka kumchezesha Yerry Mina au naye majeruh kama Coutinho?
Mbona ilishaondolewa last season. Tunaendeleza tu vipigo.Anoeta curse leo inaondolewa
hiyo ni hela ya bure just kubashiri tu then ukipatia unapewa pasipo wewe kuweka dau lolote ,Yaani mwisho kushinda ni 40,000/=!!!!!!....,Pambana na hali yako ndugu!!!!...
Hakuna vurugu hapo natoa info kwa wadau wetu walipo kwenye uzi wenuUlitulia umeaza tana vurugu zako sio