FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Lionel messiah hahaha huyu jamaa huwa nikikosa kazi nazama zanyu YouTube naangalia mambo yake ananikosha sana...

Akistaafu soko nitakuwa heart broken sanaa
Siku Akistafu huyu Mnyama, Viwanja vyote vya mpira duniani vitakuwa kama vimeungua na kuteketea kwa moto. Yaani mpira wa miguu hautakuwa na maana tena nafikiri...

King Lionel Messi10....
 
Kuna watu watakufa na pressure ujue.Akae mpaka miaka 40 huyo bwana Messi ballon d'or si......ngoja niishie tu hapa
a2bb1820ceb457476f63f45a50235853.jpg
Ya sita inakuja soon, sijui ataiweka wapi? (utani kidogo)
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
Yaani mwisho kushinda ni 40,000/=!!!!!!....,Pambana na hali yako ndugu!!!!...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom