mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Ya kupewa player hua anasubiria kwenye box tunaona na tutawasimulia vitukuu alikua ana rob Tuzo za MessiHa ha ha hawa ni wetu tu. Hawachomoki....
Eti Cr7 Ballon ndooo! Upuuzi mtupu!!
Ya kupewa player hua anasubiria kwenye box tunaona na tutawasimulia vitukuu alikua ana rob Tuzo za MessiHa ha ha hawa ni wetu tu. Hawachomoki....
Eti Cr7 Ballon ndooo! Upuuzi mtupu!!
Yerri Minna ameshaanza vitimbwi vyake
Leo katambulishwa kavua viatu na akaanza kupiga dance ya colombia huku anakata mauno watu weeeee
Niliwaambia another Dani Alves ameletwa ,ila jamaa ni tall sana na ni mgumu mno amekomaa kama chuma i mean

. Yuko vizuriArda Turan away to Turkey



View attachment 674745
Mzee wa Lobbying za Bol On' Dors
Itakuwa vzr zaidi kama akitolewa kwa mkopo....Paco auzwe ili apewe chance zaidi dogo Jose' Aneiz'
Coutinho!!!!Farewell
No. 7 yetu kwa nani mwinginee .... hahaha
Yule mzee ni rais kumbe!! Wa nchini kwao auYeri Mina ni kichaa kampiga tobo rais leo wakati wa presentation nimemnyooshea mikono ni kituko
Wa barcaYule mzee ni rais kumbe!! Wa nchini kwao au
Haha basi mi nilidhani yule mzee black, walipo kuwa wanapiga picha. Bartolomeo sijui (rais) wa barca namjua hiyo sijaiona.Wa barca
Denis SuarezView attachment 675205
Hawa watoto inaonekana wanatukazia siku za karibuni....
Leo inabidi tuweke heshima....
View attachment 675208
Mashabiki wa Barca bana ha ha ha another lobbying