FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yerri Minna ameshaanza vitimbwi vyake
Leo katambulishwa kavua viatu na akaanza kupiga dance ya colombia huku anakata mauno watu weeeee

Niliwaambia another Dani Alves ameletwa ,ila jamaa ni tall sana na ni mgumu mno amekomaa kama chuma i mean
 
Kwa mwendo huu wale ndugu zetu wa upande wa pili, sijui wamesahau namna ya kucheza mpira?

Sijui wanacheza vibaya vibaya kocha hawamtaki (mgomo baridi) ?

Yaani wakifika eneo LA 18 kama hawauoni Mpira yaani...!!

Droo tena Leo au kushinda/kufungwa kwa kigoli kimoja...!!!

Kwa mwendo huu sijui UCL kama watapita hatua ya 16 bora...!!!

NB: WAEENDELEE HIVYO HIVYO ILI ZIDANE AVUNJE REKODI NYINGINE YA MAANA KWA REAL MADRID YA KUSHINDWA KUCHEZA UEFA MSIMU UJAO...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom