Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,993
Ila siku hizi anajitahidi. Mwaka jana ndiyo alitunyima ligi.Me nilijua ninaloliona hilo ni alone
Garasa la kireno hili halichelewi kujipiga chenga hili
Ila siku hizi anajitahidi. Mwaka jana ndiyo alitunyima ligi.Me nilijua ninaloliona hilo ni alone
Garasa la kireno hili halichelewi kujipiga chenga hili
Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake.Hatari sana mkuu, hata Enlique alikuwa anampenda balaa
Hatari sanaSie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake.
Bora hata bakandevu......Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake.
Hatakua kabet leo kocha sio bure timu kama sociedad unawaanzisha team moja paulinho na gomesHii midfield yetu ya Gomes na Paulinho huwa haiwezi ku control tempi na kumiliki mpira. Hapa Valverde ame gamble pakubwa.