Barcelona wana tabia ya kufunga dakika za mwisho siku hizi hasa wakiwaingiza substitute wawiliAsee ww ni Nouma.....![]()
![]()
![]()
Bac macho yako yana matege....Sana...tena kwa umakin mkubwa
Kumbe ndo tabia zaoBarcelona wana tabia ya kufunga dakika za mwisho siku hizi hasa wakiwaingiza substitute wawili

Angalia match za msimu huu kuna last minutes goals nyingi sanaKumbe ndo tabia zao![]()
![]()
![]()
Nakumbuka hata gemu na madridiots ilikuwa hivyo..... Waendelee kupiga hivyohivyo,hizi last goals zinasaidia sana....Angalia match za msimu huu kuna last minutes goals nyingi sana
Atapanda tu bhana..."Potential ya J Alba tulikua hatuioni sababu ya Neymar kuwa mbele yake-je Coutinho akikaa mbele yake si itakuwa yaleyale" Limeandika gazette la El Mundo
Ndio ujue kwamba nguvu zinatangulia kuisha kabla ya akiliHivi lini Messi ata stop ku score umewahi kujiuliza?
Mungu wa ajabu sana huyu jamaa ni natural talented goal scorer hatumii nguvu ,yuko very calculated ,sure ,accurate, speed
Messi ndio the first scholar wa Johan Cruyyf you know why?kwanini hatumii muscles sana kupiga mipira ya ku score kama mtu fulani?
Jibu simple tu "MPIRA UNACHEZWA NA UBONGO" sio maneno yangu ni ya founder wa tick taka mwenyewe Cruyff
Pona pona yao, tuko na Espanyol wana catalunya wenzetu. Hawa wazee wa kuvizia watuletee tu Nusu fainali ili tuwanyoe powa...Tupangwe na madridiots tuwanyoe makagashi...
Huyo ni Dani Alves Pure.Namuelewa sana Semedo. Huyu dogo yupo vizuri sana. Anajua kuuchezea Mpira na anatulia pindi anapokua anatoa pasi. semedo ni sheeees
Kabisa MkuuHa ha jamani ngoja nitangaze interest nilikua naumwa jana so sikuangalia match ila idadi hizi za magoli kwa Celta ni indicator fulani hivi
Team ina morale sana kadili siku zinavyoenda kikosi kimeimarika sasa kuanzia back hadi foward kile kitu tulichokua tunakimis kinarekebishwa in short naona treble this year
Treble tremble aisee Barca wana roho mbaya.....![]()
Huyo kitu ambacho hawezi fanya uwanjani nafikiri ni kudaka mpira/ugolokipa tu. Kazaliwa kufanya kazi moja kuu Mkuu...Sasa daah huyu Messi aisee ni magical class hii assist vipi tena? Imepigwa kuanzia nyuma na mtu akafunga moja kwa moja -True definition ya complete player