adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,952
- 6,154
Bwana Mdogo Dembele daah anafanya mambo flani hivi..
Dogo ameanza kuzoea sasa, nafurah kumuonaBwana Mdogo Dembele daah anafanya mambo flani hivi..
Asee ww ni Nouma.....Bado kuna bao 1 hizi dk zilizobakia Mkuu...

Unzue Juan kocha wa Celta ni copy ya Enrique so hua anafundisha tu mpira hamna uhuni uhuniMechi ya leo imepigwa kiufundi sana. Tunepata kona 7 wao wamepata 1 tu. Hakuna kadi hata moja ya njano kwa pande zote. What a game!!
Ni possible rival wetu so kuna Madrid , Sevilla, Atletico au Espanyol5-0. Kazii nzuri sana imefanyika leo. Natamani tukutane na wale wateja wetu.
dk ya . tumeanza kwa kasi. kuna goli nyimgi leo.
SawaNahsi uliangalia mpira kwa kutumia jicho la nyuma
Sana...tena kwa umakin mkubwaUliangalia first half vzr ww????
Dembele ni fireKama kawaida, nimemuangalia Dembele tena kwa umakini. MOSQUITO IS READY TO ATTACK!
zile dribles za Jana hazikua za mchezo mchezo!
Kitu kimoja ambacho hua sina hofu nae ni kupiga cross, hua zinaenda pale anapo pataka.!
Angalia alivyomuwekea Arnaiz, angalia alivyomuwekea Rackitic akapiga kisigino, angalia alivyo muwekea Suarez apige bicycle kick!
Zile one to one against defenders hadi unafurahi.
Bado tatizo moja tu, upigaji pasi (Barca style). Anakaa na mpira muda mrefu kabla ya kuachia pasi.
Ila with time naamini atazoea.
At least Jana right flank imepata uhai. Bado coutinho on the left!
I CAN SMELL THE TREBLE!
Nimemfurahia mechi ya jana, zile dribbles na ile kimbia yake noma sana..Dembele ni fire
Wacha waume menoKama kawaida, nimemuangalia Dembele tena kwa umakini. MOSQUITO IS READY TO ATTACK!