aaahuaaa ahuaaaa ,...ohhhhhooooooooooooo...waarabu bwana..naona Messi leo hmmmm!Hiii assist ya Jord tokea kwa Mess ni motoNikweli nauchek hapa la tatu
King Messi leo kaamua huku mbele kwa motoLeo huu mpira ni wa watu wawili tu dadeqqq!!!!
@Mwekunduuuuuuuuu.... njo uone kazi huku.Wapi Mwekundu Leo ?? Au kapiga ngizi mapema Leo...
Next round naomba tukutane na huyu Mviziaji wa kufunga mabao, fake ronado.
4-0 Mkuu, Messi 2, Jordi Alba 1, Siarez 1. Kazi kwisha.Messi 2-0 celta
Leo kuna Mvua ya magoli cjapata kuona.Leo Celta kazi ipo
Poapoa ngoja niijaribmi natumia mobdro bein sport 3 voda 3G. huwa hainisumbui.
Mpira unejaa utulivu sana kwa Barca leo,celta wakijichanganya na tamaa za magoli basi wataoga mengi sana.Leo kuna Mvua ya magoli cjapata kuona.
Me natumia Mobdro mkuu naona haijazingua sana kwa vodaWadau vp mnastream vp mbona mm naopata shida japo natumia 4G
Leo sioni cha Sisto wala Gomez.Hawa celta wametujia kichwakichwa wanafikir ss madridiots...., ngoja dawa iwaingie....
King Leo kapiga Bonge la pass mkuugoooooooooooooal. Jordi Alba. what a pass from king Messsi!!!
Kuna beki kisiki Yerry mina kimeletwa pale ni hatari mkuu sijui kama Penaldo ataifunga tena Barcelona kweny maisha yake ya soka yaliyobakiWapi Mwekundu Leo ?? Au kapiga ngizi mapema Leo...
Next round naomba tukutane na huyu Mviziaji wa kufunga mabao, fake ronado.