adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,952
- 6,153
Mpira huu waarabu wanatia hamasa saaana..magoli ya messi nimebaki kucheka tu...Eli Messiiiiiiiiiiii....Majirani watakuwa wamenuna sana.Wasiompenda Bwana Messi daah..inaumaa kwelikweli.....
Leo ndo watapata maana halisi ya camp nou ni wapi....Leo sioni cha Sisto wala Gomez.
Huyo arnaiz mi mwenyewe nataka nimtazame zaidi.....HT. Nani wapumzike? Napenda Dembele na Arnaiz wazame.
Huyu mwarabu wa bein sports ananifuMpira huu waarabu wanatia hamasa saaana..magoli ya messi nimebaki kucheka tu...Eli Messiiiiiiiiiiii....Majirani watakuwa wamenuna sana.Wasiompenda Bwana Messi daah..inaumaa kwelikweli.....
Hhhhhhhh eti vermanator!!!!Vermanator kaingia pique katoka.
Messi10 na Suarez...HT. Nani wapumzike? Napenda Dembele na Arnaiz wazame.
Wanatangaza daah kipindi cha goli..unabaki kutabasamuHuyu mwarabu wa bein sports ananifu
rahishaga sana. Hadi pumzi inamkata.
Aspas?Anatoka aspas anaingia yule swahiba wa Suarez!!!!
Ila hiki kijamaa kiko very talented.....
Yah i mean aspas wa Vigo anatoka anaingia max Gomez....Aspas?
Bado kuna bao 1 hizi dk zilizobakia Mkuu...Hivi messi katoka ndo mabao hayaongezeki!!!!