FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama kawaida, nimemuangalia Dembele tena kwa umakini. MOSQUITO IS READY TO ATTACK!

zile dribles za Jana hazikua za mchezo mchezo!

Kitu kimoja ambacho hua sina hofu nae ni kupiga cross, hua zinaenda pale anapo pataka.!

Angalia alivyomuwekea Arnaiz, angalia alivyomuwekea Rackitic akapiga kisigino, angalia alivyo muwekea Suarez apige bicycle kick!

Zile one to one against defenders hadi unafurahi.

Bado tatizo moja tu, upigaji pasi (Barca style). Anakaa na mpira muda mrefu kabla ya kuachia pasi.

Ila with time naamini atazoea.

At least Jana right flank imepata uhai. Bado coutinho on the left!

I CAN SMELL THE TREBLE!
Yaani kwamba hivi Mkuu, Barca tuliyoikosa kwa muda sasa inarudi
 
Hivi lini Messi ata stop ku score umewahi kujiuliza?
Mungu wa ajabu sana huyu jamaa ni natural talented goal scorer hatumii nguvu ,yuko very calculated ,sure ,accurate, speed
Messi ndio the first scholar wa Johan Cruyyf you know why?kwanini hatumii muscles sana kupiga mipira ya ku score kama mtu fulani?
Jibu simple tu "MPIRA UNACHEZWA NA UBONGO" sio maneno yangu ni ya founder wa tick taka mwenyewe Cruyff
Kweli kabisa Mkuu. Hutakiwi kutumia muda mwingi kukimbia kimbia uwanjani, kwa mchezaji mzuri unatembea tu au mwendo wa mbwa tu, I mean mchaka mchaka design flan hivi amazing...
 
"Potential ya J Alba tulikua hatuioni sababu ya Neymar kuwa mbele yake-je Coutinho akikaa mbele yake si itakuwa yaleyale" Limeandika gazette la El Mundo
Kule Barca live wameweka kibonzo cha Coutihno akingalia mechi ya Jana Celta Vigo huku J Alba, Messi10 na Suarez wakiwa na mipira kwa idadi ya magoli waliyofunga, kisha wakaandika eti "Coutihno anashangaa kwa nini wamenunua kutoka Liverpool" kwani timu inafanya powa tu...
 
performance aliyoionyesha jana lionel messi kipindi cha kwanza ilikuwa ni bora zaidi kuliko ya cristiano ronaldo ya nusu msimu wa 2017/2018.
baadhi ya wakati binadamu tunafanya makosa ya makusudi kumlinganisha messi na ronaldo
Mchezaji anayejua akae wapi na afanye nini kwa wakati upi.Ndio alichofanya jana Messi,alimjaribu kipa na shuti kali saana.Baadae naoana kipa akajua mazoea yake tu huyo.Jamaa akarudi akiwa anautafuta mpira na kuji position along side Jordi wakafanya mapishi yao pale mbele.Lile Goli la pili kipa wa Celta alishika kiuno........Huyu bwana alinifurahisha sana.Alimtazama sana Messi.Huo Mwamba hatari sana ukiwa kwenye ramani zake.Huyu bwana huwa mabeki hawapungui watatu nyuma yake.Hivi Africa hatuna watu kama hawa kweli??😎😎😎
nintchdbpict000306596240-e1488663474961.jpg

sergio-alvarez-goalkeeper-of-celta-de-vigo-reacts-during-the-uefa-picture-id668437296
 
Maoni ya Kocha Carlos Unzue wa Celta, baada ya game;

"It's hard to stop Barcelona; it's hard to stop Messi specifically."

"Today, we saw Messi's best version."

Maoni ya jamaa mwingine nae akamwambia Carlos Unzue kwamba;

"He make u happy when u were with him, n he will make u sad when u left him..."
 
Mchezaji anayejua akae wapi na afanye nini kwa wakati upi.Ndio alichofanya jana Messi,alimjaribu kipa na shuti kali saana.Baadae naoana kipa akajua mazoea yake tu huyo.Jamaa akarudi akiwa anautafuta mpira na kuji position along side Jordi wakafanya mapishi yao pale mbele.Lile Goli la pili kipa wa Celta alishika kiuno........Huyu bwana alinifurahisha sana.Alimtazama sana Messi.Huo Mwamba hatari sana ukiwa kwenye ramani zake.Huyu bwana huwa mabeki hawapungui watatu nyuma yake.Hivi Africa hatuna watu kama hawa kweli??
huwa nawaogopa sana wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto kwa sababu mguu wa kushoto upo faster sana kama mguu wa paka, na wachezaji wengi wanaotumia mguu wa kushoto wanacheza mpira kwa muda mrefu sana bila ya kushuka kiwango ukilinganisha na wachezaji wanaotumia mguu wa kulia.
kama ryan giggs alifikisha miaka 40 akiwa uwanjani naamini lionel messi atagonga miaka 60 akiwa uwanjani na bado atakuwa hatari.
 
Maoni ya Kocha Carlos Unzue wa Celta, baada ya game;

"It's hard to stop Barcelona; it's hard to stop Messi specifically."

"Today, we saw Messi's best version."

Maoni ya jamaa mwingine nae akamwambia Carlos Unzue kwamba;

"He make u happy when u were with him, n he will make u sad when u left him..."

Lionel messiah hahaha huyu jamaa huwa nikikosa kazi nazama zanyu YouTube naangalia mambo yake ananikosha sana...

Akistaafu soko nitakuwa heart broken sanaa
 
Kule Barca live wameweka kibonzo cha Coutihno akingalia mechi ya Jana Celta Vigo huku J Alba, Messi10 na Suarez wakiwa na mipira kwa idadi ya magoli waliyofunga, kisha wakaandika eti "Coutihno anashangaa kwa nini wamenunua kutoka Liverpool" kwani timu inafanya powa tu...
Ndio maana first statement ya Velverde amemuambia ameletwa ili a "add value na sio replacement "
Hivi vitu kwa watu waliosoma biashara ni vitu viwili tofauti sana japo lengo ni satisfaction (Team)
 
huwa nawaogopa sana wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto kwa sababu mguu wa kushoto upo faster sana kama mguu wa paka, na wachezaji wengi wanaotumia mguu wa kushoto wanacheza mpira kwa muda mrefu sana bila ya kushuka kiwango ukilinganisha na wachezaji wanaotumia mguu wa kulia.
kama ryan giggs alifikisha miaka 40 akiwa uwanjani naamini lionel messi atagonga miaka 60 akiwa uwanjani na bado atakuwa hatari.
Kuna watu watakufa na pressure ujue.Akae mpaka miaka 40 huyo bwana Messi ballon d'or si......ngoja niishie tu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom