FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1515654687573.jpg
Yerri Mina on his way to Barcelona to sign contract
 
PIQUE ndio roho ya defence Barca,kuwepo kwake kuna stabalise defence,cause anatumia akili kuliko brute force-
Huyu pique n bek mbovu sana...tunaposhambuliwa ndo unaweza elewa udhaifu wake...n mbovu sana kwenye marking but n bora sana kwenye kuanzisha mashambuliz I mean kupga pass..mech iliyopta dhid ya Madrid aliotuokoa alikua n vermalain...tackling zote zilikua na hakr...
 
Nahsi uliangalia mpira kwa kutumia jicho la nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom