cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Ndo kuvurugwa au? Hapo mbna kuna tofauti ya miaka 2 na sio hiyo 30 unayosema wee..Unaishangaa barca kukaa miaka kumi bila Uefa.
We Madrid ulikaamiaka 30 bila UEFA.
Baada ya kuchukua kombe mwaka 1996 ukaja kuchukua 1998.
Ni mambo ya kawaida kwenye soka.
Barca mmechanganyikiwa kabisaa, 😂😂😂😂