Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,677
Barcelona kachana mkeka
Beki zao zingikuwa safi ingekuwa 0-3,Beki za Inter zingekuwa zina defense hivi tangu first half, wangekuwa wanaingoza saizi
Yani hii mechi inter nafikili walijipanga vizuri sana , wanajua Barcelona SI mchezo walijipanga haswa.Hahahahhahahahaha na mna bahati mamake ilikuwa mfe leo
😂😂😂😂😂Kwaiyo barca kufunga ni mpaka Inter afunge kwanza
Kuna team gan Ulaya saiv ana Defensive line nzuri kama inter....Inter ingekuwa na defense line nzuri hii game alikuwa anashinda bila kuruhusu mabao mawili
Si tupo mkuu hatuendi popoteBarca ndo byee byee, 😂😂😂😂😂
DuuKuna team gan Ulaya saiv ana Defensive line nzuri kama inter....
Njoo ubwate tena, na mkienda Vatican ni kuchinjwa tyuuhMwenzetu unaangalia mpira wapi?
Au banda umiza la tegeta kwa ndevu?
Uwanja umeinama Inter anaomba mechi iishe.
Poleee, kusanyeni virago hamna chenu UEFA.Si tupo mkuu hatuendi popote
Leta maneno bwasheee, soka linasemajee?Wasalimie hapo kivule kwa mfuga mbwa.
Sisi ngoja tucheki soka.
Tupo uzuri kule game dakika 90 nyingine tutakaza..Poleee, kusanyeni virago hamna chenu UEFA.
😂😂😂😂😂😂
Chuki tu barca kwa mtu anayejua mpira na aliyetazama mechi anajua kazi aliyo nayo inter.Njoo ubwate tena, na mkienda Vatican ni kuchinjwa tyuuh
Unaionaje hiyooo? 😂😂😂😂😂😂
Kwahiyo unashangilia draw?Leta maneno bwasheee, soka linasemajee?
😂😂😂😂😂
Sasa inter ana kazi ipii? Kwako umemshindwa, utamuweza kwake?Chuki tu barca kwa mtu anayejua mpira na aliyetazama mechi anajua kazi aliyo nayo inter.
Hatuwezi kutoka believe me.Tupo uzuri kule game dakika 90 nyingine tutakaza..
So far hatuna kikosi kikubwa kupambania makombe yote hayo...
Hata tukitoka sina ninachomdai kocha wala wachezaji...
Tutaelekeza nguvu zetu kwenye ligi...
Hujapona bado mkuuHahahahhahahahaha na mna bahati mamake ilikuwa mfe leo
Sasa subiri ukaoneshwe pira halisi, mbona utakubali mwenyewe.Kwahiyo unashangilia draw?
Ila kwa pira tuliloeapigia leo mna haki ya kushangilia.