Huu mpira mpaka unaleta raha kuangalia..angalia watu wanavyotengewa na kumalizia..Leo kunawaka kwa Papa😀😀😀huku africa timu inayokua away wanakwambia inabidi wacheze kwa nidhamuu - ---- raphiinhaa chumaaaa 3-3
Naogopa Mimi dahVipi Barcelona akienda inter itakuwa hivi Kwe mrudishano wazee?
Barca safar imewadia nimengalia mechi zoo nyingi za away kiwango kibovuVipi Barcelona akienda inter itakuwa hivi Kwe mrudishano wazee?
Unasema?Chomoeni na hapo
Mmeanza kupiga ramli mwaka huu Barca wananyanyua UEFABarca safar imewadia nimengalia mechi zoo nyingi za away kiwango kibovu
Wacha tuone mana Hawa inter wakiwa kwao ni balaa kabisa.Barca safar imewadia nimengalia mechi zoo nyingi za away kiwango kibovu
Barcelona hawezi kuvhukua hili kombeMi ni shabiki wa madrid ila nataka barcelona wabebe hili kombe walilete pale spain tujumlishe na yetu yawe 21 jumla, kisha tushindanishe na timu zote za england tuone jumla wamechukua mara ngapi.