Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,375
- 110,051
I never lie🥺Leo hatutoboi wakuu... Mark my words
I never lie🥺Leo hatutoboi wakuu... Mark my words
Noma sanaNaam mechi ya leo ni ngumu, inter wanaitafuta Sana hii nafasi na wamejipanga, muhimu Barca wacheze kwa nidhamu na wawe wepesi kuswitch kwenye plan B mambo yakiwa magumu
huyu dogo anabalaa sanaLamine🔥
Aaah aah.
Tuombe Mungu majeraha yakae mbali nayehuyu dogo anabalaa sana
Mwenzetu unaangalia mpira wapi?Barca wakileta masikhara, wanafungasha virago, oooh
😂😂😂😂😂😂