Hahaha we jamaa kumbe unashabikia Barcelona
Mim ni shabiki kindak ndak WA Barcelona na Liverpool alaf Kuna jamaa yang anashabikia inter Milan nimeamua kumuanzishia uzi WA inter Milan special threadHahaha we jamaa kumbe unashabikia Barcelona
Hahaha kama Mimi Barcelona na LiverpoolMim ni shabiki kindak ndak WA Barcelona na Liverpool alaf Kuna jamaa yang anashabikia inter Milan nimeamua kumuanzishia uzi WA inter Milan special thread
Wale inter tukienda kichwa kichwa tuta aibika
Usiwe na wasi wasi tutaenda kwa akili sana.Wale inter tukienda kichwa kichwa tuta aibika
Kikubwa kounde awe fit maana akikutana na dimarcoUsiwe na wasi wasi tutaenda kwa akili sana.
Hii ni mechi muhimu sana kwetu.
Kuna kitu tunakitaka sana kwenye hii mechi zaidi hata ya kufika fainali.
Ndio maana tunamuheshimu tunajua ana defence ngumu ikiongozwa na beki kitasa bastoniSidhani kama mtaweza kumtoa Inter.
Lakini inter wapo vizuri sana kwenye maeneo ya pembeni wakiongozwa na federical dimarco lakn katikati wakikuweka kwenye mfumo na viungo wao kikubwa barcelona tuwaieshmu interSidhani kama mtaweza kumtoa Inter.