Ndio maana mechi ya Dortmund na Celta Vigo Kuna wachezaji walipumzishwa ila wabongo Kwa ujuaji walimlaumu kochaTunatoboa vizuri tu.
Japo madogo wamechoka.
Fatigue sio poa madogo wanatumika sana.
Na avunje sisi tunachohitaji ni ushindi tu.Tunakoelekea mbape ata atavunja record ya kufunga kwenye hii deby
Akafosi tuu kounde.. fort acheze RBFort ni mzuri akicheza right back sio left.
Kounde pia ni mzuri right au center back.
Hii nafasi ya Balde inatutesa sana.
Dogo majanga sana.Akafosi tuu kounde.. fort acheze RB
Ngoja tupambane.Bado La Liga na champions league.... hopefully nayo tutachukua pia 🙏