FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mpaka hapo mtakubali kua EPL ni ligi bola maana amtakagi kukubalia na hili ,na Leo matoke ya Ajax mmeyaona mnalakusema tena. Uefa final EPL team,Uropa Final EPL team ,Hii Neo lig bola.
 
THIS IS ANFIELD

Screenshot_20190509-124838.png
 
Hata kama Barcelona ni mbovu vipi , hakuna justification ya kutolewa kisengerema kama jana , Ule ni usege , kikosi ni kile kile kilichoshinda Camp nou , ufala wa wachezaji ndo umesababisha ile fedheha ya jana , mijitu inacheza kikuma tu mamaeee . Mi naona wachezaji wote kasoro Messi wawajibishwe kwa utovu wa nidhamu , kile walichofanya jana ni utovu wa nidhamu pumbavu sana wale

IMG_5015.JPG
 
Suarez anahitaji kuondoka na hili nasema siku nyingi. Goli moja tu UCL. mzigo wote wa kufunga ni wa Messi. KOCHA awe wa kwanza kuondoka, halafu nahisi Valverde ni mbaguzi asiyeamini wachezaji weusi.
 
Kwa kweli huu uzi ufungwe tu ad tuingie fainali msimu ujao wa UEFA. Nimeuacha kuangalia mpira kiukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom