FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

P

Penison

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Messages
1,679
Points
2,000
P

Penison

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2017
1,679 2,000
Hapa tunapiga mahesabu ya final na ma city

Liverpool machoni mwa team za UK wanaonekana wagumu ila nimewasoma sana kuanzia msimu uliopita hadi huu hapa ,kwetu ni mkate tu ,hadi match ya juzi Beyern walishindwa tu wenyewe,
Ndoto ya Messi kuirudisha UEFA camp Nou na ku win treble ni reality 80% loading...,my analysis haijachanganya mapenzi tu na team yangu ila ni technical aspects nimeangalia

UEFA linarudi Camp Nou
Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
 
konge

konge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Messages
4,386
Points
2,000
konge

konge

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2014
4,386 2,000
Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.

Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
🤣🤣🤣🤣Waacheni wapumue kiongozi, tusije wakosa
 
Lukub

Lukub

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
1,136
Points
2,000
Lukub

Lukub

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
1,136 2,000
Kwani matanga mlisha nyanyua maana bado mnalia tu, ila lazima kieleweke Barcelona ni bingwa wa Spain tu na team bora ya Spain sio dunia ,dunia hii inazo team zake wote mnazifahamu. Majonzi mema
 
Loverness

Loverness

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Messages
554
Points
1,000
Loverness

Loverness

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2014
554 1,000
Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
Mminie na chai amezee kabisa",

Timu imebebe CL 5 unaichukulia poa tu kisa haina messi.

ANFIELD kiwanja kigumu linapokuja suala la kuhitaji matokeo CL. Yaan Liverpool ajue anahitaji 1-0 or 4-0 afuzu kwakeee anakutibu tu.
Kikosi cha kawaida kile ila mziki wameucheza.

YNWA
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
1,589
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
1,589 2,000
Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.

Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
It may take them time to rebuild barca again.
Wamekuwa wakisajili sana badala ya kukuza tena watoto kutoka lamasia hii nayo inawacost.
Watoto wa lamasia wanawauza city na sasa city ndo ana academy bora.
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
1,589
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
1,589 2,000
Mminie na chai amezee kabisa",

Timu imebebe CL 5 unaichukulia poa tu kisa haina messi.

ANFIELD kiwanja kigumu linapokuja suala la kuhitaji matokeo CL. Yaan Liverpool ajue anahitaji 1-0 or 4-0 afuzu kwakeee anakutibu tu.
Kikosi cha kawaida kile ila mziki wameucheza.

YNWA
Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.
Wachezaji wauliotolewa relegation zone wakafanyaa vile kuifunga great barca kweli mpira ni spirit.
 
Loverness

Loverness

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Messages
554
Points
1,000
Loverness

Loverness

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2014
554 1,000
Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.
Wachezaji wauliotolewa relegation zone wakafanyaa vile kuifunga great barca kweli mpira ni spirit.
Klopp ni bonge la kocha ambae anajua kudeal na players vilivyo" anamgeuza mchezaji aliyekua galasa kua key player (not all but many)

Wakat mwingine maamuzi yake mabovu ndio humuangusha",.
Sasa unaona Gini & Origi tu wamefanya kweli.

YNWA
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
10,939
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
10,939 2,000
Mbona sioni Mashabiki Wa Bacrca humu Wakitutishia Messi?
 
M

makodinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
1,423
Points
2,000
M

makodinda

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
1,423 2,000
Huyu valverde mashabiki hawamtaki yeye anang'ang'ana anapata back up ya raisi akacheze nae uwanjani basi hatumtaki aiseee
 
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
620
Points
1,000
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
620 1,000
"Ngoja nikalipize kisasi kwenye play station niwapige Liva mia kudadadeki zao".Hahaha!! alisikika mlevi mwenye hasira akiongea peke yake
 
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Messages
3,495
Points
2,000
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2017
3,495 2,000
Against liverpool: 7 shots on target, 0 goal

Against Getafe: 8 shots on target, 1 goal ukiachana na hilo own goal.

Our frontline is now too blunt to win without Messi magics!
 
Mtu fulani

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
282
Points
500
Mtu fulani

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
282 500
Against liverpool: 7 shots on target, 0 goal

Against Getafe: 8 shots on target, 1 goal ukiachana na hilo own goal.

Our frontline is now too blunt to win without Messi magics!
Kwani katika hizo on tatget messi anafunga ngapi ili nikayafukuze hayo machezaji mazembe mengine
 
Forum statistics

Threads 1,295,405
Members 498,303
Posts 31,210,845
Top