FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mpira hudunda!
Mnaweza kuchukua UCL mwakani na mnaweza msichukue vile vile
It could go either way
Who knows
Mimi sina ushabiki wa kukariri matokeo kabla ya mechi.
Nimejifunza jana yaliyotokea Anfield namkubali Messi lakini yeye sio Mungu wa football
This year was our number priority(UEFA) ,we reinstate policy na kuchukua wachezaji wawili wapya (left flank na striker ) then we comeback
 
Yule kistuli wenu mwenye ndevu kama still waya za kuoshea vyombo jana hakucheza.
Dah ! Messi anatukanwa sana jamani , duh ! It's unfair . Jana timu nzima imecheza kisengesenge tu , mamaee nimeshindwa hata kumtomba mke wangu hata sikumgusa , dhakari imelala tu mapigo ya moyo yako juu , macho mekundu , mpaka shemeji yenu akawa ananiona kama zombie , Dah hawa wasenge wamenipa tabu sana sijalala kabisa. ***** zao, nimeumia sana jana jamani , narudia tena Barcelona ***** zenu .
 
This year was our number priority(UEFA) ,we reinstate policy na kuchukua wachezaji wawili wapya (left flank na striker ) then we comeback

Wawili hawatoshi mkuu!
Ningekuwa Valverde wafuatao ningewalima panga ama bench:
Pique
Vidal
Rakitic
Lenglet
Defense ya sasa pale iko porous sana na inabebwa na possession ya midfielders
 
Aisee football ni fumbo.

IMG_5009.JPG
 
qcha kudanganya uma wew
Kama utakuwa na kumbukumbu mechi ya Roma alifanya kama alivyofanya leo mwalimu mzuri anabadilika kulingana na mechi wewe unakuja vile vile rahisi mpinzani wako kukusoma tazama Enrique au gardiola anakuja kulingana na mahitaji ya mechi sio huyu fala anaatumiza kila siku
 
mech ya jana ina matokeo kama tu mechi zingine, wengi uliowataja hawana makosa, jana liva walikuwa bora kuliko basa, waliweza kutumia makosa ya alba na segio.
bt all i all tunapokea matokea, kamech ya camp now alba aliweza kusababisha tukapata goli tatu tulifrahi na jana magoli matatu tunafungwa kutokea upande wake bas tunapokea pia.
this is football, we love FCB
 
Wawili hawatoshi mkuu!
Ningekuwa Valverde wafuatao ningewalima panga ama bench:
Pique
Vidal
Rakitic
Lenglet
Defense ya sasa pale iko porous sana na inabebwa na possession ya midfielders
Acha mambo ya ajabu vidal ni zaidi ya jembe anafanya kazi kubwa mno
 
KOCHA KAISHIWA MBINU, KOCHA HATOKI KITINI, BAADA YA GOLI LA PILI KOCHA ILITAKIWA AANZE KUHAMASISHA WACHEZAJI
Sure kiukwel hakukuwa na motivation yoyote maana pale wachezaj walikuwa wanazomewa na mashabiki hivyo alipaswa kupiga kelele kuhamasisha wachezaj wake atleast wangekuwa na spirit flan iv

Clop na gadiola nawakubali sana huwa wanaongea na wachezaj pamoja na kuwapa moyo

Yule msenge jana alikuwa anakula vidole tu
 
MWAKA JANA KATOLEWA NA ROMA HAKUJIFUNZA, HATA LALIGA MESSI AKIWA HAYUPO UWANJANI TIMU INATOTA,
BARCA SIO YA KUFUNGWA KWA KONA YA KITOTO KAMA ILE, BINAFSI NAJUTIA LILE GOLI ALILOKOSA DEMBELE CAMP NOU DAKIKA YA MWISHO, GOLI LILE ANGEFUNGA LINGEKUWA NA MAANA SANA, PIA MECHI YA WEEKEND HAKUWA NA SABABU YA KUPUMZISHA KIKOSI KIZIMA......... BARCELONA WANAHITAJI KOCHA MPYA
 
Nakubali hatuwez kuwa na kocha msenge kama yule

Yan kwel naishi kwa shida nimeleft grup zote whatsap nime mute status za watu wote sitak kusikia haya mambo jaman jaman mpira unatesa nyie
 
huu ni ushabiki uliopitiliza, wakati unamtwisha lawama dembele , mtishwe bas na mungu mtu jana kwa kutaka kufinya kwenye sita badala ya kupiga holi.

footbal ni mchezo wa makosa, kila mtua anecheza mpira kiwanjan anamakosa pia ukiona goli lolote lile limefungwa kiwjani jua kuna mahali mtu alifanya makosa so sio mda wa kujutia huu. piga moyo konde
MWAKA JANA KATOLEWA NA ROMA HAKUJIFUNZA, HATA LALIGA MESSI AKIWA HAYUPO UWANJANI TIMU INATOTA,
BARCA SIO YA KUFUNGWA KWA KONA YA KITOTO KAMA ILE, BINAFSI NAJUTIA LILE GOLI ALILOKOSA DEMBELE CAMP NOU DAKIKA YA MWISHO, GOLI LILE ANGEFUNGA LINGEKUWA NA MAANA SANA, PIA MECHI YA WEEKEND HAKUWA NA SABABU YA KUPUMZISHA KIKOSI KIZIMA......... BARCELONA WANAHITAJI KOCHA MPYA
 
Nakubali hatuwez kuwa na kocha msenge kama yule

Yan kwel naishi kwa shida nimeleft grup zote whatsap nime mute status za watu wote sitak kusikia haya mambo jaman jaman mpira unatesa nyie
Pole sana Mkuu ila jana sijalala kichwa inauma kama Mimi ndiyo Mess dah
 
Hata kama Barcelona ni mbovu vipi , hakuna justification ya kutolewa kisengerema kama jana , Ule ni usege , kikosi ni kile kile kilichoshinda Camp nou , ufala wa wachezaji ndo umesababisha ile fedheha ya jana , mijitu inacheza kikuma tu mamaeee . Mi naona wachezaji wote kasoro Messi wawajibishwe kwa utovu wa nidhamu , kile walichofanya jana ni utovu wa nidhamu pumbavu sana wale
 
Mule wale wapumbavu hawana moyo wa kujituma mamaee zao kila kitu wanamsubiri Messi ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom