[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani leo kama mtapata usingizi kwa furaha mliyonayo[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu watu tulikuwa tumejificha vichakani tumekata tamaa, now tumeamka
Kinachofuata ni kupiga nyani bila kuangalia usoni
Kwani si mlisema Messi aliwambia mwaka huu lazima anaileta Champions league trophy .
Imekuwaje? ,si mkamudai awape?
Nakuomba uje kwenye uzi wa MAJOGOO utusalimie kama jana ulivyopitaAisee football ni fumbo.
Mkuu mbona umeanzia huku man anzie nyumbani kwanza hahahahahahahahahLa Liga is the best league than EPL
Poleni sana
Anfield ni machinjioni na hatoki mtu salama
Ukishmdhibiti Messi basi Barca Keisha habari yake
Mkuu mbona umeanzia huku man anzie nyumbani kwanza hahahahahahahahah
Kwan leo walikuwepo?
Klopp ni muoga sana hawa tungekuwa makini tungewamaliza kule kule basi tu uzembe tuTuliwapa urahisi game ya kwanza kutomchezesha Trent Anorld.
Klopp ni muoga sana hawa tungekuwa makini tungewamaliza kule kule basi tu uzembe tu
HahahHii team hamna kitu kabisa ikiwa away kama Simba tu
Iwezekano wa kupata goli 2 ulikuwa mkubwa, ila pia nadhani kutokuwepo Salah leo unaweza dhani kama ndiyo chanzo cha ushindi wetu.
Kwakweli [emoji23] [emoji23]Watoto wa babu mmoja Johan Cruyyf tutakutana fainali this year
Naja.Nakuomba uje kwenye uzi wa MAJOGOO utusalimie kama jana ulivyopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mbona upepo umechange ghafla