hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,448
- 14,800
Tapeli tu huyo.Tapeli wakati katia kamba 2 juzi na ndio aliyefunga goli la ushindi kwenye WC
Kufunga sio kigezo kama ni mchezaji mzuri sana.
Mchezaji nafasi kumi za wazi anapata goli 1 au 2 za kudanganyia uingingie kingi.
Unafikiri angekuwa mtu wa kazi tungekubali aondoke kwa urahisi?