Niliiacha 2 - 2 dk kama ya 66 hivi, vipi imeendeleaje?Duh, wakuu hii mechi ya Betis na Celta imekuwa kali kinoma.
3-3Niliiacha 2 - 2 dk kama ya 66 hivi, vipi imeendeleaje?
Duuh kweli hatari, vipi Aspas hajaingia nyavuni?
Huyu kocha ana akili nyingi trust meValverde asilazimishe Messi acheze huko Millan kama hajawa fit kwa asilimia mia!
Sio aingie uwanjani nusu saa atoke analia watuambie anakaa tena nje wiki sita.
Hatutaki masikhara na UEFA msimu huu.



Ameshatolewa kwenye listKing amepania sana kubeba ndoo ya UEFA msimu huuView attachment 921944View attachment 921946



Unawaza kama Mimi. Wamwachie mnyama, nkonki nkonki, master "Suarez" aendelee kusimamua shoo!!!Valverde asilazimishe Messi acheze huko Millan kama hajawa fit kwa asilimia mia!
Sio aingie uwanjani nusu saa atoke analia watuambie anakaa tena nje wiki sita.
Hatutaki masikhara na UEFA msimu huu.
Inter wanakaa bila Messi.Unawaza kama Mimi. Wamwachie mnyama, nkonki nkonki, master "Suarez" aendelee kusimamua shoo!!!
Yeah kaka lazima wakae tu.Inter wanakaa bila Messi.
Unawaza kama Mimi. Wamwachie mnyama, nkonki nkonki, master "Suarez" aendelee kusimamua shoo!!!




Valverde asilazimishe Messi acheze huko Millan kama hajawa fit kwa asilimia mia!
Sio aingie uwanjani nusu saa atoke analia watuambie anakaa tena nje wiki sita.
Hatutaki masikhara na UEFA msimu huu.
Huyu kocha ana akili nyingi trust me![]()
King amepania sana kubeba ndoo ya UEFA msimu huuView attachment 921944View attachment 921946
Pale unapo jaribu kumpoteza aduiAmeshatolewa kwenye list![]()
Lazima ucheze na saikolojia pia...
Hapa itawalazimu kutengeneza plan mbili... With and without messi....Lazima ucheze na saikolojia pia...
Mpira ni zaidi ya kuucheza uwanjani pekee...

Yaani nikimuangalia Vidal anavyonyanyasika mpaka nacheka. Yaani jamaa kama anasukumwa tu. Hana balance kabisa leo
Nahisi hawa majamaa ushindi wa Clasico walienda kusherekea kwa kugonga kwa sana. Yaani utafiriki wanabeba magunia miguuni. Wazito sana
Kama ulivosema Mkuu, lazima wawe na plans kama zote....Hapa itawalazimu kutengeneza plan mbili... With and without messi....![]()
![]()
![]()
![]()
Umeme unaweza ukamhusu Leo "Naingolan"...huyu rafinha inabidi akae mbao ndefu malcom au dembele wacheze au mnyama messi acheze hivyo hivyo huku amefunga kamba mkono wake kwenye shingo mwalimu sio anakariri kikosi kilichomfunga inter ndio kitafunga kila kitu ni kitu cha uongo nimeona mechi tatu huyu anarukaruka tu zaidi ya upepo kufunga goli la inter....... afanye upuuzi wote lakini pale muandazi arthur melo na kaka zake sergio na rakitic hasipaguse kabisa...nainggolan leo anaenda kukutana na mtu katili pale kati namuonea huruma sana