FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembele
1541314562013.gif
 
What a comeback, nilijua tushapigwa nikajilalia
Mkuu ulikosa uhondo, the game was tough but beautiful, ila hii hutokea nakumbuka hata mimi nishawahi kuondoka kwenda kulala kipindi kile Bayern Munich alipotufunga 7 ile mechi ya marudiano pale Nou Camp sikuimaliza nlisepa baada ya kuona hamna namna tungeweza kuepuka kipigo
 
Haibu ya kupigwa na katimu Kadogo sikutaka inikute,,, roho inauma haha...

Naikumbuka ile ya psg niliangalia hadi dakika ya mwisho, sensational.

Hutu tu timu ilitakiwa tuwe tunavipiga 5, 6 tukibanwa sana 4
Moyo wako hauna uvumilivu, wengine tulikomaa hadi mwisho maana mbali na kupenda timu pia tuliiwekea dhamana kwenye makampuni ya kubet

Kwa kikosi tulichonacho tunaweza, sema defence line ina commit makosa mengi mno, kama jana kuna kipindi ilkuwa inakatika balaa.
 
Moyo wako hauna uvumilivu, wengine tulikomaa hadi mwisho maana mbali na kupenda timu pia tuliiwekea dhamana kwenye makampuni ya kubet
Duuhh vijana manabet kweli, sisi wazee ezi zetu havikuwepo vitu kama hivi. Na sasa tunaogopa kujiingiza huko tusije poteza pesa za ugali wa watoto
 
Kati wote anayestail kupewa hongera game ya Jana ni Gerard Pique aka Baba shakhira .
Timu ilikua inacheza kwa kuridhika sana hawajitumi.
Baada ya hapo Pique aliamua kupanda kushambulia mwenyewe ndo timu ikahamka kuaza kulisakama lango la wapinzani. Pique hadi akamtengea kwa kichwa Dembele, kisha Dembele katumbukiza nyavuni.
Kwangu Mimi anayestaili kupewa hongera ni Pique kwa kuonesha ule uzalendo wa kuipigania Beji ya Barcelona. Natamani nishuhudie siku moja Pique awe Raisi wa Barca.
 
Na ndiye aliyekuwa chanzo cha goli la pili barca kufungwa
 
Dembele ana matatizo yake lakini goli analijua. Hua ana shots za kibabe sana!

Bado najiuliza kati ya cross ya Roberto na ile ya Rakitic ipi kali.

Tatizo letu leo lilikua ni muunganiko wa midfield na front line.

Tumemiliki mpira 70% most of the time, ila tukaambulia shuti moja tu on target kwa kipindi cha kwanza.

Sioni umuhimu wa Rafinha kuanza, badala yake Semedo apewe shavu la kulia ili Roberto afanye kazi ya kuiunganisha team mpaka Nabii akiwa fiti kurudi uwanjani.

Nafikiri Suarez amehisi Paco Alcacer anaivizia nafasi yake. He's back on fierceness!
Superfine analysis Mkuu
 
Leo Messi, still without the medical all-clear, is part of a list of 22 players that also includes Chumi and Iñaki Peña from Barça B

Leo Messi will travel to Milan with the rest of the first team squad. He will do so without the medical all-clear, but forming part of the list of 22 players called up for Inter - Barça. It’s a match that, in the event of a win, would qualify Barça automatically as group winners.
Messi is the surprise name in a list that also includes Iñaki Peña and Chumi, from Barça B. The rest of the squad is as follows: Ter Stegen, Cillessen, N.Semedo, Piqué, I. Rakitic, Sergio, Denis Suárez, Coutinho, Arthur, Suárez, O.Dembélé, Rafinha, Malcom, Lenglet, Jordi Alba, Munir, Sergi Roberto, Arturo Vidal and Aleñá.
Vermaelen, Samper and Umtiti continue to recover from their respective injuries.
Last session before heading to Milan
After the win against Rayo (2-3), and in a recovery session for the starters at Vallecas, the first-team trained this Sunday on pitch 2 at the Ciutat Esportiva. Iñaki Peña, Monchu and Chumi made up the numbers.
It was the last session before heading to Milan on Monday. Ernesto Valverde and Sergi Roberto will appear at a press conference on Monday afternoon at the Giuseppe Meazza, before the team train on the pitch.

The squad to travel to Milan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom