FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii game ya kushinda kweli lakini bila kufanya jitihada tutaishia kutoa sale, jamaa wanatukabia juu sana inakua ngumu kuutoa mpira kwenye zone yetu, pia tukifanikiwa kufika kwao mipango inakua butu sana.....
Duh! Ata hii sare naitamani sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom