Mwenyewe niliamini hii game atafanya vizuri ila kuniangusha maana anacheza kama kalazimishwa, uzuri ni kwamba kashinda bila hivyo ingekua noma sanaHahaaaa Dembele anani kwaza sana, sijui anataka auzwe hata simuelewi
Kawaida yetu na magoli ya majeruhi. Dk za mwisho huwa tunachafuka.Hahaaaa Dembele anani kwaza sana, sijui anataka auzwe hata simuelewi
Tumeshinda aaaa aaaa aaa wapiiiiiiii team BarcaWakamae sasa huenda tukashindaa
Hali ilikuwa tete jombaa...Babu unakuja nyakati za furaha tu [emoji16]
HahaaaaTumeshinda aaaa aaaa aaa wapiiiiiiii team Barca
Hahah sio poaHali ilikuwa tete jombaa...
Hajui kama wazeee wana pressure huyuHali ilikuwa tete jombaa...
Hii game inabidi tuwe makini sana, jamaa Leo wamepiga 5 kavu. Majeruhi wao washaponaTukutane tena next week, ndani ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Zile sub zimekuja na ngekewa ya ushindi maana karibu tulikuwa tunaenda kupoteza point 3 wazi wazi.Nilishakata tamaa na mkeka wangu umechanika..duh maajabu eti 3 na niliacha 2-1
[emoji23][emoji23][emoji23]Hajui kama wazeee wana pressure huyu
Huyu mzee huwa ana sub za akili sanaZile sub zimekuja na ngekewa ya ushindi maana karibu tulikuwa tunaenda kupoteza point 3 wazi wazi.