FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wanakaa nyuma nyuma wanategemea counter, wanajua kupiga ntu na ntu hawatatuweza. Naona kama ni hatari kwenye counter, Na rekodi yao ya kujilinda ni nzuri huu msimu.
 
positioning sense ya Dembele ni poor-alaafu anakimbilia kwenye watu.Hizi short crispy passes za Barca zimetoka wapi?
 
hawa barca bana sasa ile match iliyopita ya la liga mbona hawakuonyesha mkeka kama huu wa leo
Game plan ya wapinzani inachangia.... wale wa ligi walikua wanafunguka na wao wanaucheza na kutukabia juu, hawa wa leo wanaruhusu tucheze wao wana defense tu wakitegemea zile kaunta
 
Coutinho naona game imemkubali ila apunguze kuzinguka Kama mshale wa saa, Dembele bado simuelewi kabisa
 
Coutinho naona game imemkubali ila apunguze kuzinguka Kama mshale wa saa, Dembele bado simuelewi kabisa
Mkuu dembele anawork vizuri na Semedo. Wakiwasha speed kule kulia moto unawaka. Inabidi tukubali kuwa silaha kubwa ya Dembele ni Spidi na anahitaji space kubwa kuoperate. Mtindo wetu wa kubana pasi za hapa na hapa hautakuja kumfaa. Dembele angeenda timu kama RM angewafaa sana.
 
Romantic football!

As if tuko training. Leo Coutinho kuna vitu anafanya pale kati mpaka roho inasuuzika!

Dembele anakomaa sana kuwapunguza wakati jamaa wamejaa nyuma. Anatakiwa aguse na kuachia tu!

Kama hali ikiendelea hivi, basi semedo amreplace dembele, then tuendelee kuangalia playstation football.

Ni moja kati ya zile mechi ambazo hata usipofunga bado unakua umepata burudani.

Naliona goli na Suarez hapo second half!
 
Mkuu dembele anawork vizuri na Semedo. Wakiwasha speed kule kulia moto unawaka. Inabidi tukubali kuwa silaha kubwa ya Dembele ni Spidi na anahitaji space kubwa kuoperate. Mtindo wetu wa kubana pasi za hapa na hapa hautakuja kumfaa. Dembele angeenda timu kama RM angewafaa sana.
Asante kwa mchanganuo mkuu
 
Game ya Napoli na PSG tam sana najuta kupoteza 45 za First half kuangalia game ya Barça ya upande mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom