Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Pole alafu pole tenaMmmmh mambo magumu,bwana J kabana uchumi
Pole alafu pole tenaMmmmh mambo magumu,bwana J kabana uchumi

la 5Tumetulia mkuutulieni Hivyo Hivyo kama mnanyolewa
Mkuu bado msimamo wako uko palepaleWithout King Game haitakuwa na msisimko aise...
Wafeee tuJamaa mpaka wanatia huruma aisee watapigwa la 6 hawa
Mkuu ulikuwa wrongmi ningemtoa Suarez nakumpa na ban ya mechi kadhaa.
sikati mazoea na mashabiki wa Barca, dadeki ...Tumetulia mkuu




nimenyoosha mikonoHahaaaaWakuu nimeingiwa na imani nawahurumia hawa ndege weupe hapa nou camp
Hahah!! Soccer ndio lilivyo ndugu yangu Leo sisi tunacheka kesho utacheka wewe. Polesikati mazoea na mashabiki wa Barca, dadeki ...
nimenyoosha mikono
S.R kila akikutana na hawa jamaa hafanyi makosaMy credit kwa S Roberto..ha ha ha kawavuruga sana katikati na mipira yake ya assist na penetration .
This is Barca kila pass ya mchezaji ina macho na brains
asante mkuuHahah!! Soccer ndio lilivyo ndugu yangu Leo sisi tunacheka kesho utacheka wewe. Pole