upo sahihi mkuu real madrid ndio wababe wa soka duniani kwa ngazi ya klabu kwa miaka 3 mfululizo lakini pia na wewe unapaswa ukubali ya kwamba barcelona ndiye mbabe wa real madrid kwa miaka 10 hii.
rudi tena ukaangalie takwimu zenye kuwakutanisha wababe hao wawili.
kwenye miaka 10 hii real madrid ameshafungwa mara mbili magoli 5 na bila ya kusahau aliondoka uwanjani na kapu lenye magoli 6. kama ni mshabiki wa real madrid basi unapaswa uonyeshe heshima kubwa sana unapoijadili barcelona.
kwa jinsi defence yenu ilivyokuwa inakatika ovyo kama wachezaji wa ngoma ya baikoko siku ya jana laiti kama angelikuwepo mungu wa mpira ndani ya uwanja usingelikuwa na nguvu ya kuja kuandika comment yako humu ndani.
anakusalimia sergio roberto, eti baada ya mechi kumalizika sergio alimuuliza valverde hivi mechi ya el classico tunacheza lini tena?
https://fussball.wettpoint.com/en/h2h/757-747.html