FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haha.jpeg
 
Melo buana!!!!?
Wengi tulitia shaka sana juu ya huyu Arthur Melo. Mara mzito, mara sijui hafiti kwenye mfumo wa Barca, yaani 7bu kibao!!! Games zote alizocheza kasimama imara.

Kifupi ni bonge la Midfielder, walifanya vizuri sana kumchukua baada ya Iniesta na Paulihno kuondoka. Ilikuwa aje mwakani, 2019 lakini baada ya kuona Iniesta na Paulihno wamesepa uongozi ukaomba aje mwaka huu badala ya 2019.
 
Nillisema hapa tukitulia wanakula mkono, and that's what they got!


Tumeanza kipindi cha pili vibaya sana mpaka wakapata goli, ila substitutions zimebadili mchezo.

Sergi Roberto is the man of the match kwa upande wangu, he was every where doing everything!

He literary owned the midfield keeping Modric in his pocket!

Huyu Semedo sitaki kumuongelea sana, maana kamchana mtu msamba kama wa Amber Ruty alafu akasepa kama sio yeye!



Dembele amecheza poa sana na amepika magoli mawili, that's more than enough!

Back to ticki tacka, the last 25 minutes were occupied by romantic football, i almost climaxed!

Hebu king aendelee kupumzika, kazi yake kutupatia UEFA!

This is Barca!
 
Hongereni woote kwa ushindi huu mpana.
Pongezi kwa kupata points 3 na goal 5
Now mna drive race, mpo pale juu kileleni.

Sidhani kama Lopetergue atamaliza siku 3 kabla ya kuonyeshwa mlango wa kitokea. Ramos hii game imemuuma sana. Hii itakaa kwenye kumbukumbu zake mpaka kufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom