Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,668
- 1,251,093
GIF zinakula MB hizo ,wiki hii siweki mpaka wiki ijayo
toka 2010 kwenye ligi tumewapiga Madrid mara 9 wao wakishinda mara 4 tu. Leo kipigo cha kumi. Timu inayosumbuliwa na Plzen haiwezi kutusumbua. Tunapiga Mapema asubuhi. Numbisa usiache kutuwekea zile GIF japo ni nyie tatakuwa tunawapa kichapo.