Mkuumadrid akishinda leo atamzidi barca 3 pts hapo kuja kumkamata labda kusubr mechi kati yao tena
Mkuu6 minutes remaining plus stoppage time
Haya sawa mkuuUefalona wamekuwa kama manure
Hata sioni dalili mkuuMkuu
Unasubiri bao la kusawazisha eeeee
Bora tumefungwa mapema tujipange vzrwakuu emu piga picha, Uefa tukutane na Liver kwa defence yetu ilivyo sasa. Aisee, tunaweza kupigwa kipigo ambacho hatuwezi kukisahau. Yaani, Leganes tunashindwa kumpiga?, hata kama kuna new comers, hapana aisee!!!
Huyu ndo pique sasa.Mtizamo wangu pique kaokoa jahazi kwa asilimia kubwa. Blocks nyingi dhid ya targets za stuan na goli la kusawazisha
Kama sio pique ile mech na girona nayo ingekuwa lossHuyu ndo pique sasa. View attachment 878884
Ndio lkn amekuwa nje mda mrefu sana + umri ni majanga matupueti Vermalean anapiga fullback?
Hata akiwa fiti hana spidi ya kupiga fullback.Ndio lkn amekuwa nje mda mrefu sana + umri ni majanga matupu
Na kama isingekuwa pique ile mechi ya girona tungekuwa tumeshindaKama sio pique ile mech na girona nayo ingekuwa loss
Ni bora tupate muda wa kujipanga.Bora tumefungwa mapema tujipange vzr
Kwahyo ngapa ngap leoNi bora tupate muda wa kujipanga.
Barca wamepigwa 2-1Kwahyo ngapa ngap leo