Duuhh Barca 1- 2 Leganes
Nadhani hii ya leo ndio performance mbaya zaidi msimi huuHii sasa ni aibu. beki yetu imekua uchochoro, midfield haiwezi kukaa na mpira. huu msimu kazi tunayo.
La liga mkuu hiiMechi ya majaribio ama!
huyu kocha anabebwa tu na uwezo wa wachezaji ni sifuri kabisaNadhani hii ya leo ndio performance mbaya zaidi msimi huu
Ngoja tusubiri majaliwa yake yatakuwaje mkuuhuyu kochA ni mjinga kabisa ana wachezaji wazuri lakini hana mbinu na hajui kupanga kikosi. yani kila siku kuwabadilisha wachezaji namba na kujaribu wachezaji.
kuna mechi za kujaribu wachezaji lakini si hizi za ligi,unamuweka suarez nje,beki vameleen messi anacheza namba 9 yani akipata mpira hadi atafute positin yake ndio apige vilevile kwa dembele.countinho kucheza nyuma ya dembele ni ujinga
countinho ni kiwango na mzuri kumzidi huyo dogo mara 1000 na hilo eneo la kushoto ndio lake haswa hata akiwa kule liverpool,kinachonishangaza sijui nimkipi kinafanya wasimpe countinho nafasi ya kucheza eneo hilo hadi alazimishe huyo dembele kucheza hilo eneoDembele kule kushoto wana force tu acheze lkn kuna msumbua kiasi
Mtizamo wangu pique kaokoa jahazi kwa asilimia kubwa. Blocks nyingi dhid ya targets za stuan na goli la kusawazisha
Pesa walilipa nyingi sana, kwahiyo wana lazimisha achezacountinho ni kiwango na mzuri kumzidi huyo dogo mara 1000 na hilo eneo la kushoto ndio lake haswa hata akiwa kule liverpool,kinachonishangaza sijui nimkipi kinafanya wasimpe countinho nafasi ya kucheza eneo hilo hadi alazimishe huyo dembele kucheza hilo eneo
Pique anatoa assist kule
hii mechi itakwisha hivi utaniambia,mechi nyingi toka msimu umeanza nimeona kuna tatizo katika upangaji wa kikosi na mbinu za kocha.subiri siku barca ikutane na timu ambazo zipo vizuri kama liverpool,juve,buyern au madrid utaona majibuNgoja tusubiri majaliwa yake yatakuwaje mkuu
Mkuu naombea tunapo kutana na hao tuwe tayari tumekaa vzr.hii mechi itakwisha hivi utaniambia,mechi nyingi toka msimu umeanza nimeona kuna tatizo katika upangaji wa kikosi na mbinu za kocha.subiri siku barca ikutane na timu ambazo zipo vizuri kama liverpool,juve,buyern au madrid utaona majibu
Tunaweza ongezwa piahii mechi itakwisha hivi utaniambia,mechi nyingi toka msimu umeanza nimeona kuna tatizo katika upangaji wa kikosi na mbinu za kocha.subiri siku barca ikutane na timu ambazo zipo vizuri kama liverpool,juve,buyern au madrid utaona majibu
Tumekuwa n watu wa kuhaha kutafuta "draw" za mihogohii mechi itakwisha hivi utaniambia,mechi nyingi toka msimu umeanza nimeona kuna tatizo katika upangaji wa kikosi na mbinu za kocha.subiri siku barca ikutane na timu ambazo zipo vizuri kama liverpool,juve,buyern au madrid utaona majibu
Noma sana, golkipa nae amekaza balaaTumekuwa n watu wa kuhaha kutafuta "draw" za mihogo
inaboa sana kila siku kusubiri kurudishaTumekuwa n watu wa kuhaha kutafuta "draw" za mihogo
madrid akishinda leo atamzidi barca 3 pts hapo kuja kumkamata labda kusubr mechi kati yao tenaTumekuwa n watu wa kuhaha kutafuta "draw" za mihogo