FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi kocha hajangundua kuwa Dembele na Semedo wanakuwa na combination nzuri sana kulia. Mechi ya Girona. Semedo akitoa pasi na kukimbia mbele wenzake hawamsomi kabisa.
 
Kwa mtazamo wangu, kocha hajawahi kujiamini na kazi yake, hii hupelekea kuto waamini wachezaji wake.
Pia hajui combination gani inaweza fanya kazi. Mfano leo alipo mpumzisha Suarez lidhani angejaribu pale mbele kuwa Dembele, Messi then Coutinho.
Kumchezesha Coutinho nyuma ya mtu mbele kuta tu cost sana, Coutinho sio mkabaji mzuri kwanza.

Kikosi anacho kiamini yeye hakiwezi cheza michuano yote.
 
Machungu ya uefa na roma yanaanza kuja sasa kwa haya mambo aagh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom