FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu messi daahh

Raha sana kumuangalia :D:D:D...kapiga freekick 2 kipa kapangua na moja imegonga mwamba...hiki kiumbe sijapata kuona tokea nizaliwe,, na ndiye ananifanya niifutilie BARCA...bila yeye ningelikuwa natazama the Only HIGHLIGHTS...
 
Sometimes timu nazo zinabeba sana. Jana nilikuwa nakaona kanafuata mpira hadi katikati. Barca kalikuwa kanatulia Jordi na Iniesta wanakapa mpira kanatoka nao mbio.

Kanatia huruma sana...ni kama Ronaldo vile alizoea kuvishwa na akina benzema,,kule juve hakuna anayemjali maana kuna mafundi pale kila mmoja anataka afunge...
 
20180924_004408.jpg
 
Kanatia huruma sana...ni kama Ronaldo vile alizoea kuvishwa na akina benzema,,kule juve hakuna anayemjali maana kuna mafundi pale kila mmoja anataka afunge...
Aseee,watu wa soka hua aio wanafiki hivi,daah..
Punguza mahaba mkuu,ligi mech 5,anagoli 3,shota on target 10 plus,alaf msimu wa kwanza,kumjali gani unakoongeleq au mliexpect jive waige mchzo wa madrid,comeoooon'
 
Mashabiki wa timu za hispania wana vinyongo sana, wao wanachotaka ni kunyakua wachezaji majina makubwa tu na sio kunyankuliwa,mbona liver coutinho alilazimisha kuhama ila hadi wa leo wameshamsahau na kumove on,hawa nao wajifunze kuwa wachezaji kuhama timu ni jambo la kawaida kwenye soka.

Kweli kabisa,wanakua na vinyongo mda mrefu saana,wanasahau soka ni biashara,mda wowote mtu anaweza kuamua kuondoka
 
ukweli mchungu Arthur ni average player hana quality ya kucheza barca ni mzito mno bora uwe na yaya toure kuliko uo uchafu hana kiwango at a cha kumuweka benchi Denis suarez
 
With only one league match, you already have all these conclusions about him?
 
mkuu ukweli mchungu jamaa mnampoteza kumfananisha na inesta labda kama mashabiki wa barca tumeiga u mombasa wa kupamba mavi maua kama mashabiki wa manchester united
 
Inawezekana akawa average player kama unavyosema Mkuu. Lakini bado mapema sana, anaweza kuwa ni mzuri tu na si lazima awe na kiwango cha mafundi waliokuwa wamefuliwa Lamasia, Xavi+Iniesta....
mkuu ukweli mchungu jamaa mnampoteza kumfananisha na inesta labda kama mashabiki wa barca tumeiga u mombasa wa kupamba mavi maua kama mashabiki wa manchester united
 
ukweli mchungu Arthur ni average player hana quality ya kucheza barca ni mzito mno bora uwe na yaya toure kuliko uo uchafu hana kiwango at a cha kumuweka benchi Denis suarez
Nilishawahi kusema hapa.
Pia huwa anajificha kwa maadui Mara nyingine sio mtu wa kutafta nafasi sana.
Lkn tumpe mda maana anaendelea kufundishwa
 
uyo mchezaji hamna kitu kuanzia physical appearance yake alafu hana creativity barca vioungo tunao ivan na busquets pekee wengne wote mitumba labda Denis ana DNA za xavi na inesta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom