hiz gif mnazitoaga wap???Huyu ndo pique sasa. View attachment 878884
hiz gif mnazitoaga wap???
ASANTE MKUUDownload application moja hivi inaitwa "ALL FOOTBALL". Huwaga wanatoa highlights za game kubwa kwa GIF. Kwa hiyo waweza zipata huko kwa kuzipakuwa (download) mwenyewe.
Ahsante, rambi rambi hujatupatia.Poleni wafiwa napita tu naenda kule madrid
Pole tu bila rambi rambi haifai mkuu, maana sio kwa kifo kileLALIGA inakuwa tamu pale vigogo wote wanapopoteza michezo yao kwa pamoja
Poleni sana wakuu
Hahaaaahii team yangu inaninyima raha kabisa bora andrea gomes kuliko hii takataka arthur
Barca walipo anza utaratibu wa kununua wachezaji wengi ndio radha inapoteahii team yangu inaninyima raha kabisa bora andrea gomes kuliko hii takataka arthur
wewe nawe wa ajabu arthur anashida gan zile pass huzionagi auhii team yangu inaninyima raha kabisa bora andrea gomes kuliko hii takataka arthur
Shida ya Arthur sio mjanja mjanja, na ni mzito kidogo lkn anafundishikawewe nawe wa ajabu arthur anashida gan zile pass huzionagi au