Pique ana hasara nyingi kuliko faida.Mtizamo wangu pique kaokoa jahazi kwa asilimia kubwa. Blocks nyingi dhid ya targets za stuan na goli la kusawazisha
Pique ana hasara nyingi kuliko faida.Mtizamo wangu pique kaokoa jahazi kwa asilimia kubwa. Blocks nyingi dhid ya targets za stuan na goli la kusawazisha
Wazee sijui kama na ninyi mmeshitukia hii ishu, updated mpya ya jf inapunguza sana quality ya picha na Kama kuna maneno hayasomeki, sura hazionekani kama ilivyo kua mwanzo
Dembele kule kushoto wana force tu acheze lkn kuna msumbua kiasiMunir it seems is not up to the game
Aaafu sijui Dembele is under orders to stay on the left
Kweli aiseeCoordination ya Barca upfront ni poor-if Leganes fluke a goal-this could spell trouble-I think Suarez should be brought into the fold
Hii sasa ni aibu. beki yetu imekua uchochoro, midfield haiwezi kukaa na mpira. huu msimu kazi tunayo.