FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani hata wewe mwana chelsea unashangaa sisi kujisifu?

Kwani umesahau tulichokufanya last season ya UCL?

Acha masikhara mkuu!

- KANA -
Msimu huu mna bahati tu sipo UEFA ningekunyoosha na hii sarriball

E&K
 
Goli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.

Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili

The Best FIFA Football Awards - FIFA.com
IMG_20180903_190805_909.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah! Ronado ana-struggle sana. Tuseme tu ukweli kwamba "mfumo mpya + umri alionao sasa" ndivyo vinamgarimu hivi sasa. I bet kwamba hata akirudi kwenye form sidhani kama atakuwa kwenye peak ya juu kama jinsi ambavyo alipokuwa Madrid.

Namshangaa sana kulaumu ushindi wa " Luka Modric"/kuwa Mchezaji bora wa Uefa (Uefa Men's player of the year, 2017/18). Anavyo struggle sasa, ndiyo atambue kwamba mabao aliyokuwa akifunga kwa kuvizia vizia yalitokana na wachezaji wengine akiwemo Modric. Hivyo, alitakiwa tu kuhudhuria (alisusia) na kufurahia ushindi wa mchezaji mwenzie wa zamani.

Nasikia kocha wa Juve jana kabla ya mchezo wao na Parma alisema. "Ronaldo anahasira na kwamba kachukua sana zawadi ya mchezaji bora wa Uefa kupewa mchazaji mwingine, hivyo naimani atafanya vizuri zaidi kuonyesha uwezo wake hapa" mwisho wa kunukuu.

Ngoja tuone!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijafatilia haya mambo kutokana na majukumu, Ronaldo kachukia mwenzake kuchukua tuzo? Na hajahudhuria kabisa hizo tuzo?

Aiseee, huyu ni binadamu wa ajabu sana ktk ulimwengu wa soka, pale Madrid alijiona amecheza mpira peke yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom