FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aisee Barcelona sio poa kabisa sasa hawa si walikua wanaiadhibu hata goli kama 10 hivi..
Tumeshinda lkn sijavutiwa sana na mchezo wao. Mfumo bado haupo vzr kwa baadhi ya wachezaji, mfano Dembele na Coutinho kuzecha kwa pamoja bado hawaelewani vzr, nadhani kocha inabidi ajaribu siku moja kumuweka bench wacheze mbele pale Coutinho Messi Dembele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi Barca fan na sio kwamba nasema vibaya kuhusu Messi, hapana. Ninachokiona ni mfumo mzima wa La liga kukosa mvuto kutokana na kwamba uwepo wa CR7 ulileta hamasa fulani ambayo ilifanya hata Laliga kupata uwekezaji mkubwa ..lakini sasa hata ukifuatilia investment ndani ya Laliga imepungua sana kutokana na Cr7 kusepa.

Na hapo mtu kama Messi ambaye ukimtaja kwa Karib mtu anayelingana naye ni Cr7.

Sasa Messi atabaki mwenyewe bila kuwa na mtu wa kariba yake na hapo ndo ubora wa Laliga utakapo anza kupotea.

Wewe mwenyewe ni shahidi na huo ndo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimfananishe King Messi na mmaliziaji...
 
Tumeshinda lkn sijavutiwa sana na mchezo wao. Mfumo bado haupo vzr kwa baadhi ya wachezaji, mfano Dembele na Coutinho kuzecha kwa pamoja bado hawaelewani vzr, nadhani kocha inabidi ajaribu siku moja kumuweka bench wacheze mbele pale Coutinho Messi Dembele

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure coutinho inaidi ajue kucheza na dembele maana anamuingilia sana
 
Nina mashaka na wewe ... nenda ukapende Juventus laliga ndio league bora ulaya :no doubt team bora zote zinatoka pale (UEFA,Europa na miaka michache iliyopita hadi Spain national team)
Mkuu Laliga imepoteza mvuto na morali tangu kuondoka kwa Cr7 ..Messi alikuwepo kabla ya Cr7; lakini huyu cr7 alipokuja alileta changamoto kubwa tu kwa Messi.

Sasa Messi kabaki peke yake tu hakunà wa kumpa Chalenji tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Laliga imepoteza mvuto na morali tangu kuondoka kwa Cr7 ..Messi alikuwepo kabla ya Cr7; lakini huyu cr7 alipokuja alileta changamoto kubwa tu kwa Messi.

Sasa Messi kabaki peke yake tu hakunà wa kumpa Chalenji tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Cr wako mkuu, walikuwa wana mlinda/mbeba tu...angelikuwa anacheza kama King Messi sijui mngesemaje! Maana hajafikia hata robo yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom