FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Teacher inabidi ampige sub mapema Dembele tumjaribie Malcom kule left flank
Haiwezekani kuwe butu kama last season ,hadi amsha aje atoe Jordi Alba
 
Messi
1535908411131.gif
1535908427749.gif
 
Teacher inabidi ampige sub mapema Dembele tumjaribie Malcom kule left flank
Haiwezekani kuwe butu kama last season ,hadi amsha aje atoe Jordi Alba
Mkuu sub wakupigwa ni Suarez halafu kushoto akae Coutinho pale, kulia aende Dembele kt aende Messi. Barca hii itakuwa moto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia imemfahamu his majesty Leonel Andres Messi wakati Ronaldo bado anahangaika old trafford.

Hajawahi kuhitaji mvuto wa mtu mwingine, na haitokaa itokee ategemee mvuto wa mwanasoka mwingine!

Kelele kama hizi tulizisikia wakati Xavi anastaafu, zimesikika wakati Iniesta anastaafu pia. Messi bado ni yule yule mwanadamu wa ajabu mwenye kutenda miujiza ya soka pale Camp Nou (The football Cathedral).

Stay calm, and watch Messi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi Barca fan na sio kwamba nasema vibaya kuhusu Messi, hapana. Ninachokiona ni mfumo mzima wa La liga kukosa mvuto kutokana na kwamba uwepo wa CR7 ulileta hamasa fulani ambayo ilifanya hata Laliga kupata uwekezaji mkubwa ..lakini sasa hata ukifuatilia investment ndani ya Laliga imepungua sana kutokana na Cr7 kusepa.

Na hapo mtu kama Messi ambaye ukimtaja kwa Karib mtu anayelingana naye ni Cr7.

Sasa Messi atabaki mwenyewe bila kuwa na mtu wa kariba yake na hapo ndo ubora wa Laliga utakapo anza kupotea.

Wewe mwenyewe ni shahidi na huo ndo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana umeanza kuishabikia mpira Neymoney alipojiunga Barcelona
The rise of Messi msimu wa 2008/2009 ndio ilipelekea hadi Penaldo ahame ligi amafuate King Leo kule Laliga na ameendelea kuwa kweny kivuli hadi anaondoka kwenda juve
Mimi ni barca fan tangu kipindi cha akina Gurdiola wanakipiga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi Barca fan na sio kwamba nasema vibaya kuhusu Messi, hapana. Ninachokiona ni mfumo mzima wa La liga kukosa mvuto kutokana na kwamba uwepo wa CR7 ulileta hamasa fulani ambayo ilifanya hata Laliga kupata uwekezaji mkubwa ..lakini sasa hata ukifuatilia investment ndani ya Laliga imepungua sana kutokana na Cr7 kusepa.

Na hapo mtu kama Messi ambaye ukimtaja kwa Karib mtu anayelingana naye ni Cr7.

Sasa Messi atabaki mwenyewe bila kuwa na mtu wa kariba yake na hapo ndo ubora wa Laliga utakapo anza kupotea.

Wewe mwenyewe ni shahidi na huo ndo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mashaka na wewe ... nenda ukapende Juventus laliga ndio league bora ulaya :no doubt team bora zote zinatoka pale (UEFA,Europa na miaka michache iliyopita hadi Spain national team)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom