Bullava
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 618
- 1,002
Nafikiri hizo ndiyo zitaingia 16 bora Mkuu, ingawa mpira unadunda. Ila naunga mkono utabiri wako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cr akupi usingizi ?Its a match day....Barcelona vs Huesca
Camp Nou saa moja na nusu usiku
Tip of the day:namuonea huruma sana Ronaldo kile choo alichoingia ;nimemfuatilia hizi match mbili yaani daaah ukiniambia nichague yeye na Quadrado bila wasiwasi kabisa namchukua Quadrado ambaye ana offer alot in the field ,huyu bwana mkubwa siku hizi hata kumpiga chenga mchezaji mmoja hawezi namuhurumia acha media ziendelee kumbeba ndio maana makocha wapenda mpira wote they go straight and saying Messiiii.........no wonder Madrid na Benzema wana perform vizuri without him what he was doing is selfishness in the field and overlapping other players positions
Welcome Camp Nou mambo tutakayoyafanya leo hadi shetani ataogopa
Yeah! Ronado ana-struggle sana. Tuseme tu ukweli kwamba "mfumo mpya + umri alionao sasa" ndivyo vinamgarimu hivi sasa. I bet kwamba hata akirudi kwenye form sidhani kama atakuwa kwenye peak ya juu kama jinsi ambavyo alipokuwa Madrid.Its a match day....Barcelona vs Huesca
Camp Nou saa moja na nusu usiku
Tip of the day:namuonea huruma sana Ronaldo kile choo alichoingia ;nimemfuatilia hizi match mbili yaani daaah ukiniambia nichague yeye na Quadrado bila wasiwasi kabisa namchukua Quadrado ambaye ana offer alot in the field ,huyu bwana mkubwa siku hizi hata kumpiga chenga mchezaji mmoja hawezi namuhurumia acha media ziendelee kumbeba ndio maana makocha wapenda mpira wote they go straight and saying Messiiii.........no wonder Madrid na Benzema wana perform vizuri without him what he was doing is selfishness in the field and overlapping other players positions
Welcome Camp Nou mambo tutakayoyafanya leo hadi shetani ataogopa
Ronaldo ni selfish guy ,he is so obssessed with individual award kule alikoelekea ni shimoni hizo ni salam tuYeah! Ronado ana-struggle sana. Tuseme tu ukweli kwamba "mfumo mpya + umri alionao sasa" ndivyo vinamgarimu hivi sasa. I bet kwamba hata akirudi kwenye form sidhani kama atakuwa kwenye peak ya juu kama jinsi ambavyo alipokuwa Madrid.
Namshangaa sana kulaumu ushindi wa " Luka Modric"/kuwa Mchezaji bora wa Uefa (Uefa Men's player of the year, 2017/18). Anavyo struggle sasa, ndiyo atambue kwamba mabao aliyokuwa akifunga kwa kuvizia vizia yalitokana na wachezaji wengine akiwemo Modric. Hivyo, alitakiwa tu kuhudhuria (alisusia) na kufurahia ushindi wa mchezaji mwenzie wa zamani.
Nasikia kocha wa Juve jana kabla ya mchezo wao na Parma alisema. "Ronaldo anahasira na kwamba kachukua sana zawadi ya mchezaji bora wa Uefa kupewa mchazaji mwingine, hivyo naimani atafanya vizuri zaidi kuonyesha uwezo wake hapa" mwisho wa kunukuu.
Ngoja tuone!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umehamia JuventusUzi wa barca anajadiliwA Mr.UEFA
Majadilini messi asee