Yeah, we are Barca!!!!!Hawaijui baca ila wanaisikia watuache na baca yetu
Mzigo huu, Munir yupo vzr ni swala la kupewa nafasi tuMbadala wa Suarez View attachment 863909
Huyu dogo mzigo sana. huwezi kuwa striker wa Btazil halafu word cup usifunge hata goli moja. Bora tuwazungushe wakina Munir kuliko haka ka galasa.Mbadala wa Suarez View attachment 863909
Sioni cha ziada alicho nacho Thiago ambacho wachezai waliopo kwa sasa hawana. Mwakani anakija Puigi Riqui huyu mtamsahauWanabodi mpo?
Hua nimetamani sana niseme kitu kuhusu Thiago Alcantara Manzinho nimegundua we craeted a monster na kosa kubwa alilolifanya ni kuondoka Barcelona akiwa bado mdogo -tunasema akiwa kwenye development stages za football
Kwenye dirisha la usajili zilitokea tetesi kua atarudishwa Barcelona kilichotokea watu wenye DNA ya Lamasia Cantera wakaleta ngumu kua alusaliti chama ,hivyo basi akirudishwa itaua morale ya wachezaji ambao watu wameshawahi kuwaletea contract waseme wanataka nini na shiling ili wahame Barcelona na wavunje record za dunia za kulipwa ,tena wakati team iko kwenye wakati mgumu (Refer Case ya utakatishaji fedha rais wa barcelona 2011)
Xavi alikua kinara wakusema hapaswi kurudishwa Barcelona kwa sababu wakati tunakua lamasia Cantera tunafundishwa duniani kuna team moja tu!!
What if kama wachezaji ambao wameipa umaarufu Barcelona kwa zaidi ya miaka 10 wangehama?(Messi,Pique,Busquets etc) in short hatakiwi
Shida yangu mimi muandishi binafsi ipo kwenye kiwango alichokua nacho sasa hivi kwenye team ya Taifa na Buyern Munichen kiasi inakadiliwa ni moja ya midfielders bora zaidi duniani ,najisikia uchungu na wivu ama kweli we created our own monster
Experience mzee usisahauSioni cha ziada alicho nacho Thiago ambacho wachezai waliopo kwa sasa hawana. Mwakani anakija Puigi Riqui huyu mtamsahau
Mpaka mwakani hawa tulionao akina Alena+Denis Suarez and Co watakuwa wanauzoefu kama watatumika mwaka huuExperience mzee usisahau
Daaah Ricardo Puig mtoto balaa kama Xavi +Iniesta halafu yuko 17 tu ndio maana Velverde akasema bring the boy to practise with big boys
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wataruhusiwa sana kucheza Copa de leyMpaka mwakani hawa tulionao akina Alena+Denis Suarez and Co watakuwa wanauzoefu kama watatumika mwaka huu
Basi tuna tarajia makubwa kutoka kwao
Arthur yuko tayari certified ni player wa firstNdio manaaeke yule athur unamuona lakn