Mimi ni barca fan tangu kipindi cha akina Gurdiola wanakipiga mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cr akupi usingizi ?
Sifa ya mwnaume kusaka maisha popote
Ndo maana hata wewe ulitoka kwa wazazi
Cr7 kaaso toka mbali ndio nacho mkubali
Na isitoshe king alikuwa na magoli mawili before, na akamwachia apige...Messi kafanya makusudi kumpa penati Suarez. Timu nzima inatambua Suarez hayuko sawa, wanajaribu kumsuport arudi kwenye ubora.
But sadly, his glory days are gone!
- KANA -
Barcelona ni messi na messi ni BarcelonaMessi kafanya makusudi kumpa penati Suarez. Timu nzima inatambua Suarez hayuko sawa, wanajaribu kumsuport arudi kwenye ubora.
But sadly, his glory days are gone!
- KANA -
Barcelona ni messi na messi ni Barcelona
E&K
RespectNilikua nje ya mtandao. Tayari nimeshaweka zote

Duniani napenda team mbili tuEden! Karibu sana Barca, chama kubwa!