GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Sio lazima uelewa sana kwa sasa mkuu, hata mbeleni unaweza elewa jipe mdaIla ule usajili wenu wa yule mchile sijawahi kuuelewa
Sio lazima uelewa sana kwa sasa mkuu, hata mbeleni unaweza elewa jipe mdaIla ule usajili wenu wa yule mchile sijawahi kuuelewa
Kila kitu kina mipango, vijana wapo watakuja soon. Kwa mfano Puig na Miranda wanakujaLa masiya imekufa nini maana ni kununua tu sasa kila dirisha la usajili
Lamasia haizalishi siku hizi
Hawa madogo hapo kwao huwa wanatusumbua sana lkn hope tuta wasambalatisha leo kama msimu ulio pitaWakuu leo saa 11 na robo jioni tunakipiga na Soceidad kwao. ni Mechi ngumu kule Anoeta. Madrid leo wanakipiga na Bilbao. nafikiri leo watapoteza maana ndiyo mechi yao ngumu toka ligi ianze.
Ila sio kama zamaniKila kitu kina mipango, vijana wapo watakuja soon. Kwa mfano Puig na Miranda wanakuja
msimu jana tuliwatolea uvivu.Hawa madogo hapo kwao huwa wanatusumbua sana lkn hope tuta wasambalatisha leo kama msimu ulio pita
Dembele huwa anacheeka sana anasema akimuona puig alivyo na kaumbo kadogo afu anang'ang'ana kupiga zile Penetration pass zake kwa manjemba yenye mwili huwa hana mbavu kwa kucheka ila anakiri wazi kabisa kwamba dogo anajua kuboss midfield kwa level ya world class. Very tactical and full of technicality na zile flexibility zake kama za Iniesta.Sioni cha ziada alicho nacho Thiago ambacho wachezai waliopo kwa sasa hawana. Mwakani anakija Puigi Riqui huyu mtamsahau
GoodDembele huwa anacheeka sana anasema akimuona puig alivyo na kaumbo kadogo afu anang'ang'ana kupiga zile Penetration pass zake kwa manjemba yenye mwili huwa hana mbavu kwa kucheka ila anakiri wazi kabisa kwamba dogo anajua kuboss midfield kwa level ya world class. Very tactical and full of technicality na zile flexibility zake kama za Iniesta.
Laglet haazi mkuuBarcelona XI: Ter Stegen, Semedo, Piqué, Lenglet, Jordi Alba, Roberto, Rafinha, Rakitić, Messi, Suárez, O. Dembélé
Laglet haazi mkuu
Lkn hawa madogo huwa wanatukamia sanaMaandalizi ya Uefa yameanza leo
Busquets ataanzia bench kwa ajili ya special matches za Uefa
Semedo na S.Roberto watacheza dimba moja leo
Coutinho anapata charge baada ya international break -misuli inapoa kwa ajili ya Uefa pia
Artulo vidal na Lenglet bila kumsahau Arthur Melo bado wanaendelea kuisoma Barcelona styles ila kuna 100% Artulo vidal akaingia dakika 20 -30 za mwisho
Hii leo tunacheza match ni Anoeta dimba ambalo ni gumu sana kwetu ila velverde na term ya mwisho ya Lous Enrique walishalowesha maji huu mkate
Dembele bado anajengwa kisaikolojia ili ajiamini zaidi (for me ndio tatizo lake kubwa la ku cope ingawa age yake pia inachangia)
Anoeta we go El pisterelo baada ya kutupia goli mbili akiwa na Uruguay bado batri zinaendelea ku charge
King of Football Messi ameamua kujipumzisha kidogo national team huku akiwa na advantage ya kuendelea kua na hasira ya kutwaa Uefa
This is Barca
Me's cue en club
Naifahamu Anoeta ushindi utakuepo tuLkn hawa madogo huwa wanatukamia sana
Tatizo umezoea kuliwa mkuuBarca mnalaliwa leo, Atleti ashaaga mbio za la liga huko mapema mapema
We haujawahi kututakia memaBarca mnalaliwa leo, Atleti ashaaga mbio za la liga huko mapema mapema