FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nilikuwa BB kuna povu balaa. Nasikia Iniesta anaenda china mwisho wa msimu na Pia Liverpool wakishinda UCL Coutinho atapewa medali yake. Ila natamani mechi zijazo Suarez mzito apumzishwe. Tuwe na Coutinho, Messi na Dembele. Awe anaingia fk za 80 huko.
 
suarez anatucost sana mimi nasema kila siku yani hata kupiga pass hawezi wanini mchezaji ambae msimu huu anacheza kiunjanja ujanja tu anajificha kwenye kuweka ukaribu na messi kama vipi nae aende tu
 
YAANI KWAKUWA MMEPIGWA MNALETA VISINGIZIO KUWA NESSI ALIKUWA MAJERUHI HAHAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MKUBALI TU KUWA MUZIKI WA WATOTO WA KIKATOLIKI HAMUUWEZI PAMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAV ANGEKUWA MAJERUHI ASINGECHEZA KWANI MCHEZAJI NI YEYE TU, JE ROMA WAKISEMA GAME YA KWANZA MLISHINDA SABABU RAJA HAJAKUWEPO MUTAKATAA


BARCA OUT
 
hakuna cha majeruhi wala nn acheni visingizio kwani nyinyi nani mpk musipigwe kipigo cha mbwa mwizi mbona man city mwenzenu katulia daaaaaaaaaaaaah mumepigwa kihalali na wachezaji wote walikuwa wazima wa afya wangekuwa majeruhi wasingecheza kwani muna wachezaji 11 tu?nyambaaaaaaaaaaaaf litimu limezidiwa magoli mpk kutawala mchezo shnzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Hiki kitendo ROMA walichowafanyia Barcelona ni kama walishilikiana na ANGLIKANA pamoja na KKKT wote..
 
Mkuu taratibu mbona povu hivo we hujaelewa point yangu, me nilikuwa namtania mzee wa barca blackpanther sasa kwani unazani me sijui kama messi hakuwa majeruhi?

Najoke kwakuwa najua mshkaji kwa messi humwambii kitu, sa mara ya 3 mfululizo team inashindwa kufika fainali mikononi mwa messi ndo ilikuwa point yangu
 
Mimi ninachojua wametolewa kwa goli la ugenini. Au Mimi ndo mbumbumbu wa soka?
 
Kama iniesta anaenda China ujue ndio mwisho wenu kutawala elclassico.
Modric ni kiungo mzuri lakini akiwepo iniesta anapotezwa kabisa.ila iniesta asipokuwepo Hawa Sergio,rakitic etc wanapotezwa vibaya
 
Kama iniesta anaenda China ujue ndio mwisho wenu kutawala elclassico.
Modric ni kiungo mzuri lakini akiwepo iniesta anapotezwa kabisa.ila iniesta asipokuwepo Hawa Sergio,rakitic etc wanapotezwa vibaya

Coutinho yupo
 
Coutinho yupo
Kaka zidane ndio alikuwa anawanyanyasa Brazil katikati ya uwanja na kuwafanya akina kaka,juninho,ze Roberto,ronaldinho na Gilberto Silva kuonekana wa kawaida.
Hivyo casemiro,Toni,modric na isco kuwashika kiukweli inabidi uwe na kiungo mwenye kipaji haswa
Huyo countinho ni wa kawaida sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…