hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,779
- 15,671
Game ngumu ila tutatoboa.Hii mechi ya leo mnaionaje wana? Binafsi naona Barcelona akishinda ila kwa under.
Game ngumu ila tutatoboa.Hii mechi ya leo mnaionaje wana? Binafsi naona Barcelona akishinda ila kwa under.
Nyie tambeni tuRaphinaaaa.
Chuma ya tatu.
Naona nyumbu man u mmechomoa na kuongeza.Nyie tambeni tu
Namna pekee ya kuifanya Man United ishinde, ni kuikatia tamaa na kuisusa.Naona nyumbu man u mmechomoa na kuongeza.
Hii timu yako tangia aondoke Ferguson imekuwa kama pamaba jiji.Namna pekee ya kuifanya Man United ishinde, ni kuikatia tamaa na kuisusa.
Mzee wa challenge bado yupoHii timu yako tangia aondoke Ferguson imekuwa kama pamaba jiji.
Maji kupwa maji kujaa.
Hivi yule jamaa wa kufuga nywele bado anazo?
Duuh jamaa ana roho ngumu sipati picha urefu wa nywele zake kwa sasa.Mzee wa challenge bado yupo
Juzi baada ya kupigwa na Chelsea aliweka clip ya AI akionekana kunyoa.
Mwisho akasema bado anaendelea na challenge yake.