FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

naunga mkono hoja, ila umeharibu pale chini,, kwamba mess hajawai kuwafunga chelsea ktk ubora wao,
 



huyu kocha atuachie timu yetu kupaki basi sio mfumo wetu ni mpuuzi na ndio anamfanya suarez kujiona kama mwenye timu maana hakabi kutoa pass tu kwake shida
 
ila kiukweli toka aje Valverde mechi za Barca hata kuangalia hazivutii. Tunapiga mi 442 , Suarez anakuwa kama hayupo vile
Mechi yoyote ya Away linapanga 442 na kujilinda. Au utakuta half moja linapanga kikosi hiki na nyingine kikosi kingine au formation nyingine na kuharibu mpira. Halafu huwa linasimama kwa majivuno kweli. Hope watalizomea camp nou na mpira wake wa hovyo.
 
Nahisi ili furaha yangu irudi inabidi tuchukue La liga bila kufungwa, Tubebe CDr, Tuachane na 442 na RM wasibebe UCL.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…