hahaaaa. gracias muchacho🙂Ukodak wa matukio mbalimbali mapema Leo.
Niko live hapa catalunya..uncanto a Galicia por amor de una mujer suavemente...!
Mambo ni ..el caliente...aqua dulce...aqua sala.View attachment 707231View attachment 707233View attachment 707235
Du ili libaba limezaliwa kufunga linafunga kuliko wenye team ya uzi huu.pale wakisema amekwisha ndio mzuka unapanda na kufunga mpaka wote wanashikwa na aibu
Tulizeni saidong'i andunje ndo mme wenuDu ili libaba limezaliwa kufunga linafunga kuliko wenye team ya uzi huu.pale wakisema amekwisha ndio mzuka unapanda na kufunga mpaka wote wanashikwa na aibu
Ni kweli asee, hata Laliga linaongoza kwa magoli.Du ili libaba limezaliwa kufunga linafunga kuliko wenye team ya uzi huu.pale wakisema amekwisha ndio mzuka unapanda na kufunga mpaka wote wanashikwa na aibu

Rumors will always be rumors, nothing tangible to discuss. Apparently his desire blockbuster move to Los Blancos is more certain than a move back to Barça.Neymar wants Barcelona return
Today’s rumors start with Neymar who has apparently told Barcelona he made a huge mistake in leaving and wants to come back, according to Mundo Deportivo.
Apparently the Brazilian got in touch with Barca, before his ankle injury and PSG’s exit from the Champions League, to say he regrets his exit and to offer his services.
Neymar has asked what he needs to do to come back, possibly in 2019, but apparently Barca are still hurt by the way he left and his return is simply not an option...at the moment at least.
Huyu boya neymar ni traitor juzi akatushtaki kwamba hatukumlipa ilivyopaswa akatupeleka mahakamani tukashinda..neymar ana Tabia za mtaani za kwao Brazil Belo holizonte.Rumors will always be rumors, nothing tangible to discuss. Apparently his desire blockbuster move to Los Blancos is more certain than a move back to Barça.
Huyo dogo ni kifaa haswa...Tetesi
Barca watachuana na mahasimu wao, Real Madrid kumsajili beki wa pembeni mwenye asili ya Austria anayekipiga na Bayern Munich, David Alaba (25).
Bartomeou akitaka watu wampe kichapo basi amuuze Umtiti. halafu hiyo pesa ndogo sana, sijui nani alipanga?Tetesi
Mshambuliaji wa klabu ya Psg ya Ufaransa Mbrazil Neymar anajutia kuondoka katika klabu ya Barcelona na taarifa zinasema anataka kurejea klabuni hapo mwaka 2019 . (Mundo Deportivo - in Spanish)
Klabu ya Manchester United iko katika mawindo ya kutaka kumsajili mlinzi wa Fc Barcelona Samuel Umtiti's ambaye dau lake la kuuzwa ni pauni milioni 54.(Talksport)