Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
Mpaka sasa pengo la Pep bado halijapata mrithi.
Mkuu unatakiwa ujue roberty sio fullback n mild field . yaan kucheza Namba mbil bora angecheza vidalnaikumbuka ile Modric anaanguka marcelo anakimbiza kifua katanguliza mbele. ila kwa spidi mkuu hawa wakina vidal niwatu wanaofikisha. 33 au 34km/h sevilla alikuwa winger winger inahitaji speed. amekosa tu akili ya mpira. Roberto kinachomuangusha ni spidi ndiyo maana hawezi kucheza fullback kama ya kina Alba au Semedo.
Wameenda tena kumnunua Artha sijui wa kazi ganiNarudia tena tatzo la barca ni midfield., nilijua Robert sasa atapewa chance ya kucheza kat haswa ukizingatia wachezaj wengi Wa barca haswaa iniesta, ractic na busquet wanakua overrated kwa sababu ya umri. Huu mda ndo tulipaswa kuwapa nafac kina rafinha , roberty na Denis Suarez huku wakichukua utaalam kutoka kwa mafund wakongwe.. We are doing a very big mistake.
Barcelona nayo imeingia kwenye floppy kubwa sana kwa kununua kwa gharama kubwa pacpo kua na sababu.., iko wap lamasia .? Leo hii iniesta ama busquet akiumia nan atacheza mpira kama ule.?
Duh!Valverde ni mpumbavu na mamliki aliyetumwa kutuharibia team yetu
Kocha alipaswa gemu ya jana amuanzishe Coutinho toka mwanzo coz yeye hatacheza Champions league games kwa Barcelona msimu huu.Wadau kuna kina dalili ya kupigwa na Atletico na Chelsea sababu ya ujinga wa kocha na pia makombe tutayasikilizia kwa jirani nawaambia
Kocha hana sababu ya msingi kumweka Denis njee matches 11 alafu anaangaika na magarasa kama Gomez na Vidal ambao hawana maana kwa team
Mpumbavu kweli na mm nilisema tokea kikosi kilipoteka kua kocha analeta utoto na tusipopata matokeo atakua na chakujibu, yani kuna timu za kudro nazo ila sio Las palmas ya msimu hii kwajinsi walivyo vibonde...Valverde ni mpumbavu na mamliki aliyetumwa kutuharibia team yetu
huyu mzembe naona anataka kumaliza ligi bila kufungwa hivyo kawaacha wachezaji wazuri akitegemea kwaajili ya atletico akitegemea kuwafunga Palmas kirahisi. tumeishia kupoteza 2 points na kuweka ubingwa mashakani tuliwapita ATM points 11 leo zimebaki 5! kocha mzembe sana.Kocha alipaswa gemu ya jana amuanzishe Coutinho toka mwanzo coz yeye hatacheza Champions league games kwa Barcelona msimu huu.
Gemu ya jana ilitakiwa kushinda ili kuondoa mchecheto kwenye gemu ya Atletico Madrid.
Na huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.Wakuu mie sijui nikoje yan akili yangu inakataa kabisa kuamini eti Atletic madrid ndo wapinzani wetu wa kombe la ligi kuu. Yan mie sina presha nao kabisa kama ilivokua kwa Valencia, mi naamini tutachukua ubingwa mapema na nafasi ya pili atakaa tu Real madrid. Hao kina Atletic madrid, valencia, sevilla wote watarudi nafasi zao.
Paulinho anatakiwa atokee bench na siyo kuanzaMsimu ujao tuanze kuondoa takataka hizi
1. Aleix Vidal
2. Digne
3. Paulinho, ila namuona anazidi kushuka kiwango tu.
Game ya jana sio ya kutoa draw ile.
Neymar akiibeba Madrid kama anavyoibeba Ronaldo naacha kufatilia soka. Labda ana Ronaldo awepo pia uwanjani humohumo ila sio kusema amreplace Ronaldo.Wenyewe wanasema eti ni mlango wa yeye kwenda kwa Madrid.
Nakwambia ndg kocha akiendeleza ujinga wake jumapili tunapigwa na ubingwa tunausahau kwani mwaka jana ilikuwaje au mmesahauNa huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.
Saaaaaaaana, umenikumbuka mkuu.Rafinha nae yuko wap wakuu au bado majeruhi fund sana yule mtu
Yaani huyu Aleix vidali huwezi mpambanisha hata na Simon Msuva, hovyo kabisa kibwengo hiki.Tumezingua leo for sure
Huyu kocha na Vidal wake daaah
Fikiria huyu wakumweka Denis njee ya benchi au kocha ana yakeYaani huyu Aleix vidali huwezi mpambanisha hata na Simon Msuva, hovyo kabisa kibwengo hiki.