Kwa leo sina hofu na Coutinhojumapili saa 12 na robo jioni ubingwa unaamuliwa. ila imabidi tushinde leo.
Kwa leo sina hofu na Coutinhojumapili saa 12 na robo jioni ubingwa unaamuliwa. ila imabidi tushinde leo.
can't wait. inabidi tutumie hizi mechi kujenga chemistry kwaajili ya Chelsea.Kwa leo sina hofu na Coutinho
Huyo kijana dish lishaanza kucheza siku hizi.Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Huyo kijana dish lishaanza kucheza siku hizi.

Wenyewe wanasema eti ni mlango wa yeye kwenda kwa Madrid.Moja kati ya wachezaji ambao ni wapumbavu na mpaka sasa wanajuta kwa maamuzi yao ni Neymar, kuondoka Barca ambayo unacheza na Messi na kwenda timu kama PSG ambapo kuonekana mpka UEFA unahitaji kuwa na akili chafu kama za polic wa chama cha map.....
Yerry Mina yuko wapi wakuu, kiukweli mie namhusudu sana uyo jamaa kuna match alianza alicheza dakika 90 alijitahidi mno. Naamini akikaa na Umtiti tutatengeneza defense moja matata sana ya baadae mana wote wana umri mdogo. Nadhani tumpe uzoefu kwa sasa.Ktk kikosi hiki watachaguliwa wa chezaji 11 watakao cheza leo saa 23:00 hrs View attachment 703186
Valvede sometimes anazingua kinomaYerry Mina yuko wapi wakuu, kiukweli mie namhusudu sana uyo jamaa kuna match alianza alicheza dakika 90 alijitahidi mno. Naamini akikaa na Umtiti tutatengeneza defense moja matata sana ya baadae mana wote wana umri mdogo. Nadhani tumpe uzoefu kwa sasa.
Rafinha yupo Italy kwa mkopo, team nimesahauRafinha nae yuko wap wakuu au bado majeruhi fund sana yule mtu
Yuko Inter milan kwa mkopo ila kwa Barcelona ya sasa hivi hana nafasi, unadhani atamweka nani benchi kwenye First Eleven ya kina Coutinho, Dembele, Suarez, Messi, Raktic, Busquets?Rafinha nae yuko wap wakuu au bado majeruhi fund sana yule mtu
Kikosi iki leo mzigo anao Messi mana apo assist inabidi atoe yeye kwa Suarez na ikiwezekana afunge yeye.Hiki kikosi tukipigwa hakuna mchawi zaidi ya Valvede
ila kuwa na sub kama ile saaf sana inaleta upana wa kikosi me nilikuwa namuelewa sana yule jamaa tatzo majeruh yanamkostYuko Inter milan kwa mkopo ila kwa Barcelona ya sasa hivi hana nafasi, unadhani atamweka nani benchi kwenye First Eleven ya kina Coutinho, Dembele, Suarez, Messi, Raktic, Busquets?
Hata hamu imeniisha kiukweli kuangalia matchKikosi iki leo mzigo anao Messi mana apo assist inabidi atoe yeye kwa Suarez na ikiwezekana afunge yeye.
Huyu Vidal mi naonaga heri acheze beki mbili alafu Sergi Roberto acheze juu yake. Sijajua maana ya kocha ila mda mwingine mi naona tunamshusha kiwango Sergi Roberto kuchezeshwa number 2 kila siku akati match kama hii ad Vidal anaanza lakini still anacheza beki mbili uku uyu kichaa anapewa no.7Hata hamu imeniisha kiukweli kuangalia match
Yaaani huyu jamaa mm naona hata kaa sana, hawa akina polinho, Vidal + GomezHuyu Vidal mi naonaga heri acheze beki mbili alafu Sergi Roberto acheze juu yake. Sijajua maana ya kocha ila mda mwingine mi naona tunamshusha kiwango Sergi Roberto kuchezeshwa number 2 kila siku akati match kama hii ad Vidal anaanza lakini still anacheza beki mbili uku uyu kichaa anapewa no.7
Match ya leo chamtoto-ni mazoezi tuHata hamu imeniisha kiukweli kuangalia match
Hahahaa haya ngoja tusubiri, lkn hizi match ambazo Dendele angepata confidence zaidiMatch ya leo chamtoto-ni mazoezi tu